Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Sasa naye akijilinda si utakua mchezo wa kitoto vita hata hainogi..!!Mifumo ya vita kwa sasa ni kujilinda , una launch Missles , then unaweka ballistic Missles defence system, hata huto ona kombora likidondosha skyscrapers hata moja
Tutaaminije na mna id nyingi kiongozi ๐นNina siri za watu kibao humu lakini hata akinikoseaje huku uraiani tutamalizana uraiani. Kuja kumuanika mtu humu JF sio ustaarabu kabisa, I cannot do that shit
Na huo ndio ukomavu sasa haiwezekani mmekosana hoja kidogo tu wakimbilia kufukua ya nyuma ni ajabu sanaNina siri za watu kibao humu lakini hata akinikoseaje huku uraiani tutamalizana uraiani. Kuja kumuanika mtu humu JF sio ustaarabu kabisa, I cannot do that shit
Kusema tu unasiri za watu , hauoni kuwa ambao una siri zao tayari ushawatia tumbo joto bwashee ,je siku ukichanganyikiwa?Nina siri za watu kibao humu lakini hata akinikoseaje huku uraiani tutamalizana uraiani. Kuja kumuanika mtu humu JF sio ustaarabu kabisa, I cannot do that shit
Kama nina ID zaidi ya hii Mods waniumbueTutaaminije na mna id nyingi kiongozi ๐น
Maisha ni haya haya hakuna mengine. Ishi unavyotaka ali mradi huvunji sheria wala kukera wanajamii wenzio. Ukiishi kwa kutaka ufurahishe watu yaani ni afadhali ufe tu maana maisha yako yatakuwa hayana maana yo yote! ๐ฎShimbaaaaas๐๐๐
Mzee wa matipwa tipwa๐
Halafu karibu wote ambao nimejiblock kuona mambo yao mpaka kufanya hivyo nimeona wakizinguana na watu kadhaa ๐คSasa naye akijilinda si utakua mchezo wa kitoto vita hata hainogi..!!
Tokeni nje mdundane mazoea yaishe mkionana mnapeana salute ๐น๐น
Tena watu wazito wenye interest kwa publicNina siri za watu kibao humu lakini hata akinikoseaje huku uraiani tutamalizana uraiani. Kuja kumuanika mtu humu JF sio ustaarabu kabisa, I cannot do that shit
Mbona hapo bado haujakaa kimya bidadaTena watu wazito wenye interest kwa public
Ila tumekaa kimyaaa
Kibongo bongo ili uonekane una andika na kuishi uhalisia wako , ni mpaka useme ,mimi ni maskini , sina chochote , wanawake wananikataa , sijala leo , ninaumwa , nimepata ajali .Dawa ni kuuishi uhalisia wako na kuandika uhalisia wako.
Fake IDs hazimfanyi mtu aishi nje ya dunia hii ataishi humu humu tunamoishi wengine so tuandike ukweli vile tunaishi ili kuondoa hii sintofahamu.
Afasali umemchana ,akomae na matatizo yake ,coz kila mtu nae pia Ana matatizo yakeKuwa na ID nyingi
1.tajiri
2.masikini
3.mwanamke
4mwanaume
5.uko ughaibuni
Etc
Basi una bipolar D ๐น๐นHalafu karibu wote ambao nimejiblock kuona mambo yao mpaka kufanya hivyo nimeona wakizinguana na watu kadhaa ๐ค
Unaweza ukaishi uhalisia na bado ukalipuliwa vilevileDawa ni kuuishi uhalisia wako na kuandika uhalisia wako.
Fake IDs hazimfanyi mtu aishi nje ya dunia hii ataishi humu humu tunamoishi wengine so tuandike ukweli vile tunaishi ili kuondoa hii sintofahamu.
Muhimu na kula kwa wakati ,navaa na silali nnje ๐Basi una bipolar D ๐น๐น
Itakuwa ni hao hao na kwangu limeliwa block. Maana sijawasoma wakizinguanaHalafu karibu wote ambao nimejiblock kuona mambo yao mpaka kufanya hivyo nimeona wakizinguana na watu kadhaa ๐ค
Mimi somo la kuwafurahisha watu nilipata zero ๐น๐นMaisha ni haya haya hakuna mengine. Ishi unavyotaka ali mradi huvunji sheria wala kukera wanajamii wenzio. Ukiishi kwa kutaka ufurahishe watu yaani ni afadhali ufe tu maana maisha yako yatakuwa hayana maana yo yote! ๐ฎ
Unajua nimegundua chawa wanategemea sana saport ya nyuzi zao kwa wapinzani ambao humu wamejazana kama utitiri , kuna wale chawa wanakera ni kujiblock ili usiwaone tuItakuwa ni hao hao na kwangu limeliwa block. Maana sijawasoma wakizinguana
Hutokaa usikieMbona hapo bado haujakaa kimya bidada