Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Humu nyuzi za chai, kimasihara, na umbea ndio zinajaza watu zile zenye content mchangiaji mmoja

Cha ajabu hao hao tena wanalipuana
 
Nina siri za watu kibao humu lakini hata akinikoseaje huku uraiani tutamalizana uraiani. Kuja kumuanika mtu humu JF sio ustaarabu kabisa, I cannot do that shit
Mpaka hapa tu kutuhabarisha hili tayari ni tatizo mkuu bora zaidi ilikuwa ni kuendelea kukausha tu
 
Kutodanganya au kujivua nguo
Wakati mwingine huwa tunazogoa tu kutoa stress tunakuwa hatudanganyi wala hatuongei ukweli inakuwa ajabu mizaha yetu kuwa fimbo linapokuja jambo la serious

Humu tunachezaga hadi kibaba baba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…