Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Battle la Nyani Ngabu na Yo Yo 🤣
Baba Mchungaji Masanilo na Malaria Sugu. Hizi battle zilikuwa za moto sana
 
Anne Annee Anne kwani ungeongeza 16 ungepungukiwa nini jamani ee au ndo una uadui na sie utadhani tulimshauri anord trent akimbimbilie R madrid🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2016 mnastahili pia
Maana ni mwaka wa 10 huu mnadunda jukwaani.

Maana hadi sisi wa 2018 tushakuwa wakongwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Trent Bwana, yaani
Sema lazima ametumiss tu😹
 
Ooh basi jina lake sio maarufu km wenzie kina motorola
Nakumbuka it was my Dad, alikuwa nayo. Akaja akanunua mtotola, then akaja akanunua Nokia, zikaja blackbery. Alaf walikuwa wa nanunu bei kali sana enzi hizo.

Kulikuwa pia kuna simu za nyaya za mezani za nyumba hadi nyumba, kama za ttcl ila zenyewe sio za kulipia, mnaconnect nyaya tu then mnakuwa mna wasiliana na maji rani,

It was fun kupiga na kuanza kucheka na watoto wa kike wa majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…