Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi


Wanajifanya wanaakili ndogo wakati wameelewa.
Watu Wabinafsi ndivyo walivyo
 
Kama huna moyo wa kusaidia huna tu utatafuta visingizio
 
Mtibeli huu waraka wako ngoja niwaachie waefeso kwangu hapana! Mm mzee au maza akikwama mapema tu natuma 🤔hv nyie wengine malezi yenu hamkuenjoy malezi ya baba & mama?
Hawa ni wale wa single mother/father kwa hiyo wamekuwa psychologically affected. Mzazi wako hata km ana pesa, kumpa vocha/pesa ya chakula au kumnunulia gari au zawadi yoyote ni kuongeza upendo na baraka. Uzungu anaozungumzia mleta mada awafanyie tu wazazi wake aache kurubuni na wengine.
 
Jamaa nimemuona ana upeo mdogo
 
The writer, the author of this "fairytale" is not serious, needs to ba whipped massively.
 
Hizi laana ulizonazo zilitoka kwa wazazi wako baada ya kukataa kuwaudumia na huku ukijua wazazi wako ni maskini, bado unakuja hapa kushawishi vijana wa leo nao waangukie kwenye laana kama zako, UKALAANIKE PEKE YAKO, MBWA WEE.
 

Ukimpa mtu pesa ndio umemhudumia au kumtunza mtu?
Hivi hizi akili mnatolea wapi?
 
Hizi laana ulizonazo zilitoka kwa wazazi wako baada ya kukataa kuwaudumia na huku ukijua wazazi wako ni maskini, bado unakuja hapa kushawishi vijana wa leo nao waangukie kwenye laana kama zako, UKALAANIKE PEKE YAKO, MBWA WEE.

Laana ni kuvunja sheria fulani ya Mungu au miungu.
Kutomhudumia mzazi ambaye sio mzee na haumwi sio kuvunja sheria za Mungu wala sheria za nchi.
 
Sishangai Mtibel kutoeleweka!

Alichoandika taikuni wa fasihi ni akili kubwa na kinaeleweka kwa wenye akili kubwa pia.

Ukipata shida kuelewa huu uzi, unapaswa kutathimini akili yako na siyo kushambulia mwandishi. Kila kitu kipo wazi.
Mwalimu asipoeleweka kwa aliowafundisha jua tatizo liko kwa mwalimu.
 
Robert Heriel Mtibeli unaboa sana unajiona kama unajielewa ila hujitambui kabisa tema cheche itabakia wewe ni mtu mmoja unakera sana unajiona na biashara uliyo nayo ndio imekuharibu ukaona watu shit,

Safari bado huu wimbo kaangalie you tube .


View: https://youtu.be/DBrZ06tU91g?si=YEDS2YMSlPqO9sQl
Huu wimbo unadhirisha kitu kama unaakili. Ambayo sijui kama ipo kwenye hiyo akili yako ya mkate.
 
Laana ni kuvunja sheria fulani ya Mungu au miungu.
Kutomhudumia mzazi ambaye sio mzee na haumwi sio kuvunja sheria za Mungu wala sheria za nchi.
Mbona alikua anakuhudumia ukiwa mdogo nyie ndo wale mkiwa na hela mnawaambia wazazi wenu wawapigie gharama walitumia kukutunza ukiwa mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…