Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Hauna nidhamu wewe.
Haki wakati mwingine haina nidhamu Mkuu.
Embu tujadili kwa hoja ili upande uliosahihi ujulikane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna nidhamu wewe.
Usimhudumie mtoto wako sababu baadae hatakuja kukuhudumiaKwa uelewa wako umri wa kumtunza na kumhudumia mtoto uliyemzaa ni miaka mingapi?
Shida watu hawajamuelewa yeye hajakataa mtu kumhudumia mzee wake ila amesema sio lazima kama hajafika miaka 60... Yaani kama ambavyo hata kisheria mzazi hawajibiki kwa mwanae baada ya miaka 20 vivo hivyo kuna umri ambao mtoto hawajibiki kwa mzazi wake labda kwa mapenzi yake... Hapo sasa inategemea uhusiano wa mtoto na mzazi... Yaani wanaivaje?
Kama huna moyo wa kusaidia huna tu utatafuta visingizioShida watu hawajamuelewa yeye hajakataa mtu kumhudumia mzee wake ila amesema sio lazima kama hajafika miaka 60... Yaani kama ambavyo hata kisheria mzazi hawajibiki kwa mwanae baada ya miaka 20 vivo hivyo kuna umri ambao mtoto hawajibiki kwa mzazi wake labda kwa mapenzi yake... Hapo sasa inategemea uhusiano wa mtoto na mzazi... Yaani wanaivaje?
Usimhudumie mtoto wako sababu baadae hatakuja kukuhudumia
Kama huna moyo wa kusaidia huna tu utatafuta visingizio
Hawa ni wale wa single mother/father kwa hiyo wamekuwa psychologically affected. Mzazi wako hata km ana pesa, kumpa vocha/pesa ya chakula au kumnunulia gari au zawadi yoyote ni kuongeza upendo na baraka. Uzungu anaozungumzia mleta mada awafanyie tu wazazi wake aache kurubuni na wengine.Mtibeli huu waraka wako ngoja niwaachie waefeso kwangu hapana! Mm mzee au maza akikwama mapema tu natuma 🤔hv nyie wengine malezi yenu hamkuenjoy malezi ya baba & mama?
Jamaa nimemuona ana upeo mdogoHizi roho za kichawi zirudishe kwenye ukoo wenu,, kusaidia mtu hautaji umri. Kuna watu mitaani wengine ni vijana na wanasaidiwa bila hata kuwa na nasaba nao.
Kama unauwezo wa kupata bundle na kuandika huu upuuzi hapa mshukuru Mungu wako usidhani na kujiona kuwa wewe ndo mwenye akili kuliko wote.
Ok fine mzazi yuko chini ya miaka sitini hana kazi, unatake home ya ten digits kuendelea uko tayari kwenda baa ili hali baba na mamako wanalala na kushinda njaa kwa sababu tu wako below 60, narudia hii roho ya kichawi peleka kwenye jukwaa la ukoo
Hawa ni wale wa single mother/father kwa hiyo wamekuwa psychologically affected. Mzazi wako hata km ana pesa, kumpa vocha/pesa ya chakula au kununulia gari au zawadi yoyote ni kuongeza upendo na haraka. Uzungu anaozungumzia mleta mada awafanyie tu wazazi wake aache bkurubuni na wengine.
Kuhudumia wazaz siyo hiari bwana ni wajibu wa mtoto km ilivyokuwa wajibu kwake ukiwa mdogo.Tunazungumzia Wajibu hatuzungumzi moyo au hiyari ya mtu.
Kama nauwezo wa kuhonga, kununulia watu bia kwanin nisasidie wazazi wanguTunazungumzia Wajibu hatuzungumzi moyo au hiyari ya mtu.
We ndo huna akiliUkimpa mtu pesa ndio umemhudumia au kumtunza mtu?
Hivi hizi akili mnatolea wapi?
Hizi laana ulizonazo zilitoka kwa wazazi wako baada ya kukataa kuwaudumia na huku ukijua wazazi wako ni maskini, bado unakuja hapa kushawishi vijana wa leo nao waangukie kwenye laana kama zako, UKALAANIKE PEKE YAKO, MBWA WEE.
Mwalimu asipoeleweka kwa aliowafundisha jua tatizo liko kwa mwalimu.Sishangai Mtibel kutoeleweka!
Alichoandika taikuni wa fasihi ni akili kubwa na kinaeleweka kwa wenye akili kubwa pia.
Ukipata shida kuelewa huu uzi, unapaswa kutathimini akili yako na siyo kushambulia mwandishi. Kila kitu kipo wazi.
Huu ndo ukweliKuhudumia wazaz siyo hiari bwana ni wajibu wa mtoto km ilivyokuwa wajibu kwake ukiwa mdogo.
Kama nauwezo wa kuhonga, kununulia watu bia kwanin nisasidie wazazi wangu
Mbona alikua anakuhudumia ukiwa mdogo nyie ndo wale mkiwa na hela mnawaambia wazazi wenu wawapigie gharama walitumia kukutunza ukiwa mdogoLaana ni kuvunja sheria fulani ya Mungu au miungu.
Kutomhudumia mzazi ambaye sio mzee na haumwi sio kuvunja sheria za Mungu wala sheria za nchi.