Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #121
Mwalimu asipoeleweka kwa aliowafundisha jua tatizo liko kwa mwalimu.
Kusaidia ni moyo kama huna utatumia visingizio vingi kama mleta uziRobert Heriel Mtibeli unaboa sana unajiona kama unajielewa ila hujitambui kabisa tema cheche itabakia wewe ni mtu mmoja unakera sana unajiona na biashara uliyo nayo ndio imekuharibu ukaona watu shit,
Safari bado huu wimbo kaangalie you tube .
View: https://youtu.be/DBrZ06tU91g?si=YEDS2YMSlPqO9sQl
Huu wimbo unadhirisha kitu kama unaakili. Ambayo sijui kama ipo kwenye hiyo akili yako ya mkate.
Robert Heriel Mtibeli unaboa sana unajiona kama unajielewa ila hujitambui kabisa tema cheche itabakia wewe ni mtu mmoja unakera sana unajiona na biashara uliyo nayo ndio imekuharibu ukaona watu shit,
Safari bado huu wimbo kaangalie you tube .
View: https://youtu.be/DBrZ06tU91g?si=YEDS2YMSlPqO9sQl
Huu wimbo unadhirisha kitu kama unaakili. Ambayo sijui kama ipo kwenye hiyo akili yako ya mkate.
Wewe tofasili kadri ya makaratsi yako uliyokusanya darasan but the truth remains intact.Ukimpa mtu pesa ndio umemhudumia au kumtunza mtu?
Hivi hizi akili mnatolea wapi?
Mkuu Robert,Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu wa kukutunza na kukuhudumia pindi ufikishapo umri wa kujitegemea yaani kuanzia miaka 21 hivi kwa sisi Watibeli. Na kwa sheria za dunia ni miaka 18. Basi ndivyo hivyohivyo kuwa mtoto hana wajibu wa kumtunza na kumhudumia mzazi au mlezi ambaye yupo chini ya miaka 60 ambaye HAUMWI(hana tatizo la kiafya).
Vita dhidi ya umasikini siyo nyepesi, inafaa wazazi na watoto kuungana bila kurudishana nyuma wala kutegeana kuupiga teke umasikini
actually ni miongoni mwa sababu, YesUbinafsi ndio unavunja ndoa na sio kitu kingine
Unataka hadi umpeleke chooni ndo ujue unamhudumia?Ukimpa mtu pesa ndio umemhudumia au kumtunza mtu?
Hivi hizi akili mnatolea wapi?
Wewe tofasili kadri ya makaratsi yako uliyokusanya darasan but the truth remains intact.
Unataka hadi umpeleke chooni ndo ujue unamhudumia?
Ukisubiria hawa watoto uje uwategemee Kwa Kila kitu tegemea kugombana nao na wakati mwingine hata kuwatolea maneno ya laana.Jambo la hekima hili
Please usimwambie Mama yenu....Baba kumbe ndiyo tabia yako unatufanyia!?
Na ukipata tatizo usitusumbue; utumie hizohizo hela!
Na mama nitamwambia!
Sheria za dunia na nchi haisemi popote kuwa unatakiwa umhudumie mzazi wako. Kumaanisha sio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi wake.Mkuu Robert,
Umri wa mzazi aliye chini ya miaka 60 hapaswi kuhudumiwa hiyo ni kwa mujibu wa sheria?
Na kuhusu miaka 18 mtoto anakuwa mtu mzima anaweza kujitegemea, ni kweli wazazi huwa wanawaacha? Ni watoto wangapi huanza kujitegemea katika umri huo haswa mjini?
Ukisubiria hawa watoto uje uwategemee Kwa Kila kitu tegemea kugombana nao na wakati mwingine hata kuwatolea maneno ya laana.
Me najipanga ili nisije kuwa mzigo Kwa watoto.
Nataka niwe na viakiba vyangu ili hata ikitokea naumwa na nalazimika kwenda India/South Africa basi nisiwasumbue watoto zaidi ya kuwaomba sapoti ya wao kunipeleka lakini sio msaada wa Kiuchumi.
Twende kisheria mzazi asipo muhudumia mtotowake anashitakiwa sio! Je mzazi anaweza kumshitaki mtoto kwa kutomuhudumia?Kuhudumia wazaz siyo hiari bwana ni wajibu wa mtoto km ilivyokuwa wajibu kwake ukiwa mdogo.
Badilisha rangi uwe mzungu kama kila kitu cha kiuafrika unakiponda na nimeshakuona kwenye nyuzi nyingiSheria za dunia na nchi haisemi popote kuwa unatakiwa umhudumie mzazi wako. Kumaanisha sio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi wake.
Kwenye dini hasa dini kongwe kama ukristo na Uyahudi. Hakuna sheria ya kumhudumia mzazi hata moja. Bali mzazi ndiye katika umri huo anatakiwa kutoa urithi kwa watoto.
Kiafrika, watoto ni watumwa wa wazazi. Kabla ya ujio wa wageni mtoto ni mtumwa wa mzazi wake.
Mantiki ya andiko ni kuwa Wazee ndio UNAOWAJIBU wa kuwatunza na kuwahudumia.
Na watoto wadogo.
Watu kama hao ni wajingaIla maisha bhana, utakuta watu kama mtoa mada ukweni hata wakikohowa tu msaada ashafikisha haraka Sana ila Kwa wazazi wake mpaka awasimange kwanza