Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Ok, endelea kunengeneka tu Boss,yes,
mimi ni kiongozi mtumishi wa wananchi lazima niwape taarifa, maelezo na majibu muhimu ya maana juu ya masuala mbalimbali humu jukwaani, ama kuna nin mbaya gentleman?
Tumbili Peter Msigwa alishindwa kihalai kwa tofauti ya kura mbili. Huyo ni bidha yenu iliyonunuliwa kwa $500,000. Siyo nyie chawa mnatumika kiboya turelax bas padre,
kwani msigwa kule kwenye uchaguzi wa kanda ya nyasa alishikiwa bunduki ndio akaibiwa kura?
mimi daima na msifu Mungu pekee,Hao unaowashangilia ndiyo certified criminals sasa
Korokoroni nini Mandela mwenyewe alikaa huko
Kwa shida,nyie malaika ndiyo hamkai huko
Ova
Acha kusifu mungu kinafkimimi daima na msifu Mungu pekee,
sina wa kumshangilia zaidi yake....
korokoroni ni mahali pa mtu yeyote mkosaji, anaekwenda kinyume na sheria za nchi na sio kwa ubaya, ni utaratibu wa kistaarabu kabisa duniani
kiongozi muandamizi mstaafu wa chadema kanda ya nyasa mchingaji peter msigwa leo amekua tumbili?Tumbili Peter Msigwa alishindwa kihalai kwa tofauti ya kura mbili. Huyo ni bidha yenu iliyonunuliwa kwa $500,000. Siyo nyie chawa mnatumika kiboya tu
Ndiyo, kwani huji tabia ya tumbili au ngedere ni kuruka ruka tu bila malengo maalum.Ila ni bilionea nyie mnaosifia na kuabudu mnasugua bench na kunuka kikwapa.kiongozi muandamizi mstaafu wa chadema kanda ya nyasa mchingaji peter msigwa leo amekua tumbili?
kweli?
isingekua Neema na Baraka za Mungu nisingalikua hivi nilivyo sasa,Acha kusifu mungu kinafki
Unafikiri hao viongozi wako wanamjuwa mungu
Mungu huwa wanamjuwa na kumkumbuka siku zao zikikaribia
Ndomana wengi huandika vitabu
Ova
kiongozi makini mchapa kazi asie choka wala kua na ubaya na mtu, mkulima, mfugaji, mwalimu na muhuburi kama mimi nisugue bench kweli?Ndiyo, kwani huji tabia ya tumbili au ngedere ni kuruka ruka tu bila malengo maalum.Ila ni bilionea nyie mnaosifia na kuabudu mnasugua bench na kunuka kikwapa.
umekasrika hentleman?Eti huyu nae anagombea jimbo,sijui ni MP wa wapi huko. Ndio maana nchi iko hapa ilipo.
umepanic au ni mihemko tu baada ya kuona ukweli bayanaWe nae qummah tu! Ushakuwa roboti la CCM no reasoning at all!
Nyie Kuna siku watu wakiamka mtabakwa hadharani pale Nyerere square ama uwanja wa mkapa.
Naishia hapo! Hamjui huku chini " MAMA YAKO" wananchi wanamzungumziaje.
baada ya vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na usalama kujiridhisha pasina shaka, kwamaba, hakuna tena kitisho cha kuhatarisha umoja, utulivu na amani kwa waTanzania kutoka kwa magenge hayo ya kihalifu, huruma na maelekezo ya mkuu wa yalichukua mkondo wake bila masharti yoyote na si vinginevyoAmeona aibu au kuna pressure ya Jumuia ya Kimataifa imemsukuka kuwaachia bila masharti.