Kamsikilize mh Rais hotuba yake mkoani Mbeya, kwani billioni Mia moja ya Ruzuku katika mafuta ulitoka wapi, hujuwi Wizara ya kilimo chini ya mh Hussein Bashe imetenga takribani Billion Mia hamsini kwa ajiri ya pembejeo hasa kilimo au yote hujuwi
Tumetenga this ...tumetenga that....and blah blah blah
Hii lugha ya "tumetenga" ipo tangu kipindi ya Mwinyi
Tunalima mwaka wa 30 sasa,hii stupidity ya "tumetenga" hatujawahi ona imeletwa kwa yeyote
Tunachojua sisi wakulima ni kwamba,ardhi natafutwa mwenyewe,hela natafuta mwenyewe,nanunua agricultural inputs kutoka kwa wafanyabiashara wenzangu,nalima,navuna,nahifadhi,natafuta masoko mwenyewe,napeleka invoice,nalipwa,nalipa kodi....
Serikali haijawahi onekana mahali popote ni mpaka unapoenda kulipa kodi ndio unakutana nayo
Sijawahi kutana na waziri au afisa yeyote wa serikali ukiacha wakati naenda kuomba leseni ninayo hangaishwa nayo makusudi ili nisi export
Kufatana fatana tu kutukwamisha,hakuna jingine
Mnakuja kupiga picha kwenye mashamba yetu muuze kwenye social media eti "tumesaidia"....
Umsaidie nani kichaa wewe hujui hata jembe ni nini?
Tumetenga Bilioni nyoko nyoko....takataka kabisa....mnazila wenyewe..heri mle halafu mnyamaze basi...cha ajabu mnapanua madogo mnaongelea ujinga hatujawahi uona!