Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bashe anafanya kazi nzuri sana. Bashe for presidency 2030.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kwamba Bashe ana mapungufu mengi,Ila ww Una chuki mbaya sana na Bashe,alafu ww ni mtoto wa kiume, yaani Hadi aibu!🤔Nani kapewa ruzuku kwa hela kutoka kwa nani?
Bashe ana hela?
Bashe ana soko la kitu chochote?Bashe anajua mahindi yanauzwaje?
Bashe ndio anapanga bei ya mahindi?
Nchi hii sio Market Economy tena ni Economy through a stupid one person called Bashe?
Listen....mazao wanauziana watu wawili waliokutana wakakubaliana bei na wakauziana,iwe wa nje au wa ndani!
Nashe kazi yake ni kutoa leseni tu,ahatakiwi kujua hata wameuzianaje!
Unamuweka Bashe katikati ya biashara ya watu wawili kivipi kwa mfano?
Bashe hajui maana ya kutafuta wateja wa kununua mazao ya mtu,wakulima ndio wanajua mteja ni nani na hiyo kazi ndio wanaiweza maana ndio kazi yao,Bashe na domo lake kubwa anaingilia hiyo biashara kama nani kama sio mkwamishaji?
Bei za mazao anapanga Bashe yeye kama nani?Kalima yeye kwani?Mnunuzi ni yeye kwani?
Wapanga bei ni muuzaji na mnunuzi,huwezi wapangia waelewane vipi.
Eti bei imepanda,kapandisha yeye kwani yeye mnunuzi wa chochote dunia hii?
Kafieni huko madomo makubwa tu,halafu IQ ndogo....self promotion tupu!
Takwimu umezipatia wapi mkuu?Siyo Mimi tu Bali watu wengi sanaaa wanafurahishwa na kuridhishwa na utendaji kazi wa mh Hussein Bashe
Kwani wewe hufuatilii,Takwimu umezipatia wapi mkuu?
Au usikute una confuse na audience inayoangalia stupidity of a clown Bashe?
Unanikumbusha Bashite alikua anafurahi watu wanampigia makofi kumbe ni audience inayoangalia stupidity of a clown!
Amejibu maswali ya wakulima kwa vitendo, huku nyanda za juu kusini huwaambii kitu wakulima juu ya mh mama Samia suluhu Hassani na Mh Hussein Bashe katika wizara hii, wanasema mama amuache hapohapo ili kuinua kilimo ambacho ndio pumzi ya nyanda za juu kusiniTakwimu umezipatia wapi mkuu?
Au usikute una confuse na audience inayoangalia stupidity of a clown Bashe?
Unanikumbusha Bashite alikua anafurahi watu wanampigia makofi kumbe ni audience inayoangalia stupidity of a clown!
MkuuPamoja na kwamba Bashe ana mapungufu mengi,Ila ww Una chuki mbaya sana na Bashe,alafu ww ni mtoto wa kiume, yaani Hadi aibu!🤔
Kamnyanyua nani mkuu?Amejibu maswali ya wakulima kwa vitendo, huku nyanda za juu kusini huwaambii kitu wakulima juu ya mh mama Samia suluhu Hassani na Mh Hussein Bashe katika wizara hii, wanasema mama amuache hapohapo ili kuinua kilimo ambacho ndio pumzi ya nyanda za juu kusini
Nifuatilie ya nini?Kwani wewe hufuatilii,
Kanyanyua wakulima kwa kuhakikisha kuwa wanapata Bei nzuri ya mazao lakini pia katika msimu ujao Bei ya pembejeo hasa mbolea inakwenda kuwa nzuriNifuatilie ya nini?
Nafuatili uongo mimi?Sina shughuli za kufanya?
Wewe sema,kamnyanyua nani kwa kumfanyia nini hasa?
I will wait.....
Bei nzuri kaipatia wapi wewe?Kanyanyua wakulima kwa kuhakikisha kuwa wanapata Bei nzuri ya mazao lakini pia katika msimu ujao Bei ya pembejeo hasa mbolea inakwenda kuwa nzuri
Bei nzuri kaipatia wapi wewe?
Kwani yeye ndio buyer anae negotiate na sellers ambao ni wakulima?
Pembejeo kazitolea wapi?Anauza pembejeo kwani?Waziri kawa mfanyabiashara?
Nashindwa kuelewa.....kuuza mazao ni biashara kati ya watu wawili,yeye waziri anaingia wapi kwenye hiyo biashara?
Kuuza pembejeo na mbolea ni biashara,yeye waziri anaingia wapi kwenye umiliki wa hizo mali?Mpaka atoe uamuzi wa nani auziwe nini na kwa bei gani.
Waziri hausiki popote hapo....labda kupanua domo
Muwe mnadanganya watoto sio watu wazima wanaolima mwaka wa 30 sasa
Hivi hujashuhudia Waziri wetu akiwa mpakani na maofisa wa Wizara wakishughilikia suala la kukwama kwa mahindi kuvuka mpaka, hujashuhudia Waziri akifanya mazungumzo na kusaini mikataba na wawekezaji wanaotaka kuja kuwekeza kwenye kilimo, hujasikia Waziri akifanya kazi ya kuzungumza na taasisi mbalimbali za utafiti wa mbegu Bora zitakazo ongeza kipato kwa mkulima,Bei nzuri kaipatia wapi wewe?
Kwani yeye ndio buyer anae negotiate na sellers ambao ni wakulima?
Pembejeo kazitolea wapi?Anauza pembejeo kwani?Waziri kawa mfanyabiashara?
Nashindwa kuelewa.....kuuza mazao ni biashara kati ya watu wawili,yeye waziri anaingia wapi kwenye hiyo biashara?
Kuuza pembejeo na mbolea ni biashara,yeye waziri anaingia wapi kwenye umiliki wa hizo mali?Mpaka atoe uamuzi wa nani auziwe nini na kwa bei gani.
Waziri hausiki popote hapo....labda kupanua domo
Muwe mnadanganya watoto sio watu wazima wanaolima mwaka wa 30 sasa
Ulimsikiliza bashe vizuri maana hayo yote aliyatolea ufafanuzi mzuri sanaTumefuatilia bei hizo za mbolea kwa mkulima kweli ni nzuri.lakini ili mbolea ifike kwa mkulima zinapita kwa walioleta na kuziweka kwa mifuko
2. Kuna mawakala mikoani
2. Kuna maduka ya pembejeo wilayani hadi vijijini
Je, wao watakuwa na bei za kununulia ili mkulima auziwe kwa bei hiyo elekezi?.
Mahindi kukwama mpakani ni tatizo la kiserikali mahusiano yake na serikali inayofuataHivi hujashuhudia Waziri wetu akiwa mpakani na maofisa wa Wizara wakishughilikia suala la kukwama kwa mahindi kuvuka mpaka, hujashuhudia Waziri akifanya mazungumzo na kusaini mikataba na wawekezaji wanaotaka kuja kuwekeza kwenye kilimo, hujasikia Waziri akifanya kazi ya kuzungumza na taasisi mbalimbali za utafiti wa mbegu Bora zitakazo ongeza kipato kwa mkulima,
Alitoa ufafanuzi upi?Ulimsikiliza bashe vizuri maana hayo yote aliyatolea ufafanuzi mzuri sana
SawaHussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona namna wizara ilivyobadilika kiutendaji.
Ni mfuatiliaji mzuri juu ya kinachoendelea wizarani kwake na hata akisimama kuzungumza unajua na kuona kuwa anazo taarifa zote za wizara na anafuatilia utendaji kazi wizarani. Naona namna yeye na mama yetu Mh. Rais wanavyopambana kuhakikisha mwaka huu mbolea inapatikana kwa bei rafiki kwa kutoa ruzuku huku mkulima akiuza mazao yake kwa bei nzuri.
Hongera Sana Mh. Hussein Bashe, vijana tunakutegemea uendeleee kuchapa kazi ili kilimo kitunufaishe. Maana kilimo ni ajira na pumzi yetu, kilimo ndio usalama wa nchi, hivyo simamia vyema kulinda usalama wetu wa chakula na uchumi wetu. Maana kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu.
Asante, kazi iendeleeee! Baba yangu anasema wewe ni kama mzee Paul Kimiti alivyoitendea haki wizara hiyo.
Hujuwi huwa kunafanyika hujuma au wewe Ni mgeni na biashara za nchi na nchi au unazani Kuna anayetaka kuwa soko la mwenziye, mh Bashe Hussein anastahili pongezi kubwa, Najuwa moyo wako umejaa chuki na kinyongo juu ya mh Hussein Bashe, Hivyo huwezi ona Mambo mazuri afanyayo, Hata hivyo siyo shida maana watanzania wanaoona na tunaona kazi afanyazo na ndio maana anasifiwa na kupongezwa kwa kazi nzuri afanyazo katika wizara hii tegemeo hapa nchini kwa kundi kubwa la wananchi, Ambapo Wizara hii ndio uzi au kamba ambayo ikilegea Basi Watanzania wanajuwa wamelegea, Songa mbele mh Bashe katika kumsaidia mama yetu kipenzi katika Nafasi aliyo kuamini ili uwatumikie watanzaniaMahindi kukwama mpakani ni tatizo la kiserikali mahusiano yake na serikali inayofuata
Mfanyabiashara au mkulima hausiki hata kidogo
Yeye kakwamishwa na maserikali mawili yasiyoelewana....yeye ana kibali,ana mzigo,anasafirisha vizuri kwenda kwa mteja wake....so sad maserikali mawili yanayomiliki mpaka hayaelewani anaepata shida ni mkulima ambae hausiki
Mkulima yeye kafanya kosa wapi mpaka Bashe/serikali eti imeenda mpakani "kumsaidia"?
Always governments are the stumbling blocks on any legal business and Bashe na serikali yake ni chanzo cha yeye kusimamishwa mpakani
Kwahilo Bashe hajasaidia mkulima popote.............kwanini wamsimamishe to begin with?Serikali hiyo hiyo ndio chanzo cha yeye kusimamishwa....halafu eti "tumemsaidia"...bure kabisa
Serikali imesaini mkataba na wawekezaji,mkulima wa Tanzania anahusikaje hapo?
Wamesaini wampe ardhi ya bure,na vitu vingine vya bure kwa makubaliano maalumu....Mkulima wa Tanzania anasaini serikali wapi apewe hivyo vitu?Hakuna popote
Serikali "inazungumza" na taasisi mbalimbali za kuboresha mbegu,wakizungumza ndio kwamba sisi wakulima tutapewa mbegu bure?
Taasisi hizo tunazijua way before serikali kuzifahamu,na tumekua tukinunua mbegu huko way before Bashe hayupo popote...leo Bashe kaenda "kuzungumza" nao ili iweje hasa?
Kwamba tutapata mbegu bure?Mbegu ni biashara,tunachajiwa kwa bei sawia,serikali haiwezi "ongea" tupewe bure wao wapate hasara sababu Bashe kaongea nao?
Hivi huu msamiati "mazungumzo" mbona mnatumia kama kichaka kujionesha labda kuna kazi sana mnafanya?
AiseeeHujuwi huwa kunafanyika hujuma au wewe Ni mgeni na biashara za nchi na nchi au unazani Kuna anayetaka kuwa soko la mwenziye, mh Bashe Hussein anastahili pongezi kubwa, Najuwa moyo wako umejaa chuki na kinyongo juu ya mh Hussein Bashe, Hivyo huwezi ona Mambo mazuri afanyayo, Hata hivyo siyo shida maana watanzania wanaoona na tunaona kazi afanyazo na ndio maana anasifiwa na kupongezwa kwa kazi nzuri afanyazo katika wizara hii tegemeo hapa nchini kwa kundi kubwa la wananchi, Ambapo Wizara hii ndio uzi au kamba ambayo ikilegea Basi Watanzania wanajuwa wamelegea, Songa mbele mh Bashe katika kumsaidia mama yetu kipenzi katika Nafasi aliyo kuamini ili uwatumikie watanzania
Eti kila mtanzaniaMapropaganda haya.
Bashe is a useless gu, kujipromoti tu, na maneno kibaoo. He is not what he is claiming to be
I know sh1t when i see one!