Huyo Waziri wako "anamsaidia" nini Mkulima au mfugaji?
Maana naona unatumia neno "kusaidia" kimakosa!
Waziri ambae hajawahi kugusa jembe,waziri ambae hajui lolote kuhusu nini maana ya kuuza mazao ya mtu,waziri asiejua lolote kuhusu kukopa na kununua mbolea,waziri asiejua lolote jinsi ya mtu kupata ardhi,etc
Leo eti waziri huyo anajitia eti ni mesiah kaja kuwakomboa wakulima?
Yaani leo Bashe ndio awafundishe wakulima jinsi ya kulima na kufanya biashara ya kilimo?
Bashe anawapa kitu gani chochote cha bure?Hatoi hela,hatoi vifaa,hatoi ardhi,hajui lolote kuhusu kulima.....
Huo "msaada" unaosemea ni upi,hebu utaje!
Wewe ni Bashe,msomali mwenye domo kubwa kuliko wote...na self promotion!