Hussein Bashe anastahili pongezi kwa namna anavyochapa kazi katika Wizara ya Kilimo na kutekeleza maelekezo ya Rais Samia

Kama Tanzania tungekuwa na mfumo wa kupigia kura mawaziri bora ,,,, basi huyo Hussein Bashe ni waziri bora zaidi kijana kuliko yeyote namaanisha sio Mwigulu, Makamba wala nani
 
Sijaandika Ili tubishane
 
Kama Tanzania tungekuwa na mfumo wa kupigia kura mawaziri bora ,,,, basi huyo Hussein Bashe ni waziri bora zaidi kijana kuliko yeyote namaanisha sio Mwigulu, Makamba wala nani
Wote ni pile of sh1t

Hatuko hapa kupiga kura ya "afadhali".....
 
Hu
Huyu bashe nikweli amesema nchi nzima mbolea bei moja lakini waziri wa biashara Dr ashantu simwelewi haoneshi cimenti iuzwe kiasi gani huku kigoma mfuko ni 21000-23000 vijijini kama kalya huko 27000-30000 kwa mfuko amtoe huyu waziri
 
Naomba kupatiwa namba ya waziri Bashe kwa yeyote aliye nayo.
 
Mkuu Lucas mwashambwa, naunga mkono hoja Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!
P
 
Mapropaganda haya.

Bashe is a useless gu, kujipromoti tu, na maneno kibaoo. He is not what he is claiming to be

I know sh1t when i see one!
Watanzania kwa roho mbaya hawana mfano! Sasa wewe ungejibu kwa hoja lakini umebaki majungu tu
 
Watanzania kwa roho mbaya hawana mfano! Sasa wewe ungejibu kwa hoja lakini umebaki majungu tu
sasa mzee unalazimisha nimpende mtu?

kwahiyo mtu akimchukia mtu ni majungu?

sio lazima nimpende mtu...ukimpenda wewe inatosha....wengine tubaki na kumchukia

yanini unalia lia?
 
Awapelekee Pikipiki 7,000 alizowaahidi Maafisa Kilimo kule vijijini. Amewaacha solemba kule
 
Ili nimpongeze. Ninge penda kuona.
1. Kila Kata/Wilaya iwe na Irrigation Scheme ya zao mhimu la eneo hilo.
2. Afufue mazao maarafu ya Enzi za Mwl. Nyerere ya kila Mkoa. Mf. Ndizi-Bukoba , Maharage-Mbeya, Mpunga-Kyela, Mkonge- Moro, Tumbaku-Tabora, nk.
Nje na hapo tutakula plastic za China.
 
Bashe ni mzalendo alieamua kukomaa kubadili mfumo akiwa ndani ya chama na Serikali.

Amekataza offers za CDM mara kadhaa.

Songa mbele Bashe, usirudi nyuma.
Ameeeen.
 
Itoshe kusema ficha chuki zako kwa kuwa huna unachohitaji kuezwa ukaelewa.

🚮🚮🚮
 
sasa mzee unalazimisha nimpende mtu?

kwahiyo mtu akimchukia mtu ni majungu?

sio lazima nimpende mtu...ukimpenda wewe inatosha....wengine tubaki na kumchukia

yanini unalia lia?
Siyo kupenda wala nini lakini unamsema mtu unajibu kwa hoja kwa nini ameshindwa
 
Siyo kupenda wala nini lakini unamsema mtu unajibu kwa hoja kwa nini ameshindwa
nimejibu hoja zote

zitaje hoja ambazo sijajibu!

au unajisikia kuharisha tu?

Nimepinga huo "uchapakazi" wa huyo mwenye domo refu kwa hoja na sababu.....

namchukia ndio..kama wewe unavyompenda....who cares?
 
Itoshe kusema ficha chuki zako kwa kuwa huna unachohitaji kuezwa ukaelewa.

🚮🚮🚮
kwani nikiwa na chuki ndio kwamba sina haki ya kua na chuki?

wewe una upendo mimi nina chuki na huyo mtu....hatari yako ni nini?

nifiche chuki yangu kwa huyo mtu kwa maana kua na chuki nae ni kosa?kwa mujibu wa sheria ipi?

namchukia ndio.....wewe mpende....shida ipo wapi?

sijakufatilia kukuambia umchukie kama ninavyomchukia mimi,cha ajabu wewe ndio umepanua domo kunishurutisha mimi niache chuki yangu kwake nimpende kama wewe unavyompenda...kwanini unaingilia uhuru wa wengine?
 
Clearly either kuna kitu unajua kuhusu Bashe sisi wengine hatujui au labda ni chuki tu zisizo na msingi.

Kwa mim raia wa kawaida kabisa na akili yangu ndogo wizara ya kilimo nikiipima kwa data kabla na baada ya Bashe naona kuna mambo mengi ameyapa momentum/msukumo. Wakati mwingine hata kuwapa wadau wa sekta confidence na political will ni mchango tosha.
 
Inatakiwa umchukie mtu na kuwa na chuki na mtu kwa sababu zenye mashiko hasa kwa Jambo Hilo linalohusu utendaji kazi wa mh Waziri wetu, maana utendaji kazi wa Waziri tunaupima kwa matokeo chanya yatokanayo na Sera mipango na miongozo mbalimbali inayoratibiwa na kusimamiwa na Waziri na maafisa wote chini ya Wizara,

Tuna kila sababu ya kusema mh Hussein Bashe Anastahili pongezi kwa namna anavyo tekeleza wajibu wake katika wizara hii inayogusa maisha ya watanzania wengi ambao kwao kilimo ndio Pumzi yao na yetu
 
Nadhani ungejikita kusema nini ambacho hafanyi kwa usahihi unge win argument. Zaidi utaonekana una chuki binafsi.
Mfano sema
Tatizo A hajalitatua
Au ameanzisha jambo B ambalo ni upigaji wala halimsaidii mkulima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…