WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ushauri mzuri ni Serikali kununua mahindi kwa wakulima kwa bei inayofikika lakini kuzuia ni chanzo cha magendo.Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo...
Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama Morogoro mahindi yameharibika mashambani kwa kukosa mvua za kutosha ...
Nakushauri Tena kwamba zuia kwanza mahindi yasiende nje ili tujitosheleze ... au serikali kupitia nrfa iingie kununua kabla hatujabaki na mabua !!
Nakufahamu hupendi kushauliwa na mtu lakini asiesikia la mkuu huvunjika