Wanyonge wa Magufuri kumbe ni wavivu wavivu tu vibaka wa vijiweni roho mbaya imewatawala,hawataki mafanikio ya watu wengine kisa wivu na uroho,wao raha yao yao ni kuona watu wakiteseka,mtu unalilia kufunga mipaka huku unasahau kuwa jukumu la Serikali ni kutoa huduma bora kwa wananchi wake na siyo kuzuia fursa za maisha yao.Ndiyo maana nchi yetu inahangaika kwa sababu ya sheria mbovu za awamu ya tano za kutetea umaskini kuona maskini ana thamani kulikop mchapa kazi.
Kama mtu unaona chakula kinaisha nchini tafuta mtaji mkubwa au kopa hela Serikalini nunua mazao kwa kiwango unachotaka wewe,tunza mpaka msimu wa njaa uje uuze kwa bei ya faida utafurahia hayo maisha kuliko kumlaumu Bashe ambaye hana tatizo lolote kwenye changamoto zako.Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,soko zuri ndiyo unafuu wa mkulima na Mtanzania kwa ujumla.Asante.