Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Ushauri mzuri ni Serikali kununua mahindi kwa wakulima kwa bei inayofikika lakini kuzuia ni chanzo cha magendo.
 
Uko sahihi na mimi hii kitu ilinivuja moyo sana.
 
Jibu zuri lisilo kuwa na mawaa,asante.
 
Usiwapangie wakulima wapi wauze mazao yao, ardhi kanunua mwenyewe, mbolea kanunua mwenyewe, kaotesha na kupalilia mwenyewe, kavuna mwenyewe halafu baada ya kuvuna unataka umpangie wapi pa kuuza, hii sio akili.
Mbona walipopewa ruzuku hukusema kama watoe hela zao chakula ni usalama wa taifa acheni siasa ruzuku ni Kodi za watu wote wanaolima na wasio Lima katika nchi ujue Kuna mgawanyo wa majukumu hawezekani Kila mwana nchi awe analima je huyo mkulima akienda hospital ambiewe hajitibu hutakija kuropoka hapa kuwa sio haki
 
Heading isomeke... zuia mahindi KWENDA nje......
 
Kama uko makini kichwani hangaika na namba 1 & 2 tu. Ni <15% ya ardhi yenye rutuba ndiyo inalimwa Tanzania. Watu wengi wamejikita kwenye uchuuzi na umachinga mitaani.

Maamuzi ya Bashe ni FURSA ambayo wenye AKILI tayari wanakimbilia vijijini kwenda kulima. Ila WAPUMBAVU watabakia JF kuandika threads za kutaka mipaka ifungwe ili wavivu waendelee kununua unga kwa Tsh 1,000.

Shikilia hapo hapo Bashe, wakulima waamue wenyewe wauze wapi
 
Wewe sio mkulima, nyamaza tuu
 
Kama Wazambia, Congo na Kenya wametafuta hela na kuja kununua mahindi kwetu, na sisi si twende tukanunue kwao kabla hawajatumia?
Kwani wale wakuluma mnaotaka watuuzie ni wakulima wa shirika la kilimo la Taifa? Si wamelima kuvyao kwa gharama zao au mimi ndiye sielewi?
 
Kama ni legacy Mheshimiwa sana Bashe atatuachia wakulima basi ni huu msimamo wake wa kutofunga mipaka, kunatunufaisha sana.
 
Huyo jamaa ni tatizo kwa usalama wa chakula Tanzania (linapokuja swala la mlalahoi kumudu bei za sokoni).

Ni waziri wa ovyo mno na fisadi mkubwa asie na huruma ata chembe.
Tatizo ni wewe! Bashe ni kati ya vijana na waziri makini SANA nchi hii, anashirikisha, anadhubutu, anafikirisha, anatenda!

Tungekuwa na mawaziri 5 wa aina ya Bashe, Tanzania ingeingia kwenye record ya nchi za kipato kikubwa kwa kila mwanabchi.
 
Pe
Wakati wanalima ulishauri wapewe mitaji? Mbolea na Fedha za kulimia? Ulikuwa Bar unakunywa mtori sa ivi unawapangia Cha kufanya
Pesa ya Kodi yetu imetumika Kwa billions kuweka RUZUKU kwenye mbolea na vitendea KAZI.

Kudhibiti mfumuko wa Bei masokoni, Serikali kupitia wizara ya KILIMO ihakikishe inanunua shehena ya vyakula Kutoka mashambani na kuyatunza ktk maghala Ili kuhakikisha muda vyakula vitakapopungua maghala yafunguliwe Ili Bei zishuke.
 
Nenda kalime na wew, miaka nenda rudi wakulima hawanufaiki na mazao yao sabab ya kuzuiwa mazao kutoka nje na kufanya wauze kwa bei ndogo isiyo na faida kwao ajili ya watu wasiolima kam ninyi na hamjui ugumu wowote ya na mateso ya shamba. Nyambafu wew.
 
Chuki za kipumbavu, kalime kwanza ujue mateso ya shamba ndo uje hapa na ujinga wako wa kumkandamiza mkulima ktk soko la mazao ambayo kasota mwenyewe muda huo we unakunywa kahawa mtaani.
 
Wewe MKULIMA shika jembe lako la mkono endelea kulima hamna shida.

Na ukivuna uzao kokote kulingana na Bei ya soko.

1.Sisi wenye AKILI tunashughulika na namba 3. UJINGA. 4. RUSHWA 5. UONGOZI BORA Sirikali Ili ihakikishe soko la ndani vyakula vinatosheleza.

2. Wizara isifanye maamuzi ya kuomba hazina ya Dollar kwenda kutuagizia Mchele wa plastic wakati ingeweza kununua Mchele ktk soko la ndani na kutunza katika maghala,Ili iutoe wakati wa uhaba Ili kupunguza mfumuko.

3. Tunaisimamia sirikali ihakikishe wanaopewa tender ya kusambaza mbolea hawachakachui Bei au kuongeza MCHANGA kwenye viroba vya mbolea.

4. Tunataka Sirikali ihakikishe inawekeza kwenye KILIMO wakulima walime Kwa tractors na Si jembe la mkono.

WAPIGA zumari waendelee kupiga zumari na kucheza mziki wa kuupiga mwingi'' maana ikitokea Bashe amebadilishwa akaja mwingine na akabadili sera, wataendelea kushangilia vile vile kana mazuzu!!!
 
Yule jamaa ni kilaza,siyo mtu wa ushirikiano anajiona anajua kila kitu.
 
Swala la kuratibu wachuuzi ntakuelewa ila sio sio kumminya mkulima kwa bei ndogo eti we unafamilia yako isiyojua mateso ya shamba ndo mmpangie mkulima auzaje mazao yake wakati akihangaika na shamba hukumsaidia chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…