Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

Wew ulie mwerevu kalime, upo hapo hujui hata mkulima anatumia gharama gani kwa hekari 1 hadi kuvuna lakin unataka umpangie bei ya soko jinga wew
 
Safi sana, mlulima auze anapotaka na kwa bei nzuri. Asiemudu akalime na yeye.... machinga na bodaboda watatudi mashambani kama bei ya mazao ikiwa juu
Swala la kuratibu wachuuzi ntakuelewa ila sio sio kumminya mkulima kwa bei ndogo eti we unafamilia yako isiyojua mateso ya shamba ndo mmpangie mkulima auzaje mazao yake wakati akihangaika na shamba hukumsaidia chochote
 
ujitosheleze we nani? Mshahara wako kuna mtu anakupangia? Ache wakulima wapange namna ya kutumia mishahara yao ambayo ni mazao wanayoyavuna. Mnavyotumia mishahara yenu na michepuko kuna mtu anawaingilia? Hizo ni dharau kwa wakulima. Hawalimi kwa ajili yako ni kwa ajili yao. Mwisho shika jembe na wewe.
 
Endelea kusuburi tu ila acha mkulima nae afaidike na jasho lake, hujui ugumu wa shamba lakin unataka umpangie bei mkulima anaesota shamba we upo umeweka kende zako juu ya sofa
 
maslahi ya taifa ni wakulima kuuza mazao yao kwa bei ya hasara? Kisa wawahifadhie wavivu km wewe? Acheni udwanzi
 
Wew ulie mwerevu kalime, upo hapo hujui hata mkulima anatumia gharama gani kwa hekari 1 hadi kuvuna lakin unataka umpangie bei ya soko jinga wew
We mjinga ni kuulize unazamia hao wakulima.wanajua hata mpaka wa Congo unafananaje? Hayo mahindi wanauza bei cheee wanao fadika ni hao Madalali
 
Huyo jamaa ni tatizo kwa usalama wa chakula Tanzania (linapokuja swala la mlalahoi kumudu bei za sokoni).

Ni waziri wa ovyo mno na fisadi mkubwa asie na huruma ata chembe.
mlalahoi ni mtu wa aina gani, we ndiyo mtu wa ovyo, mmekimbia kulima mnaenda kufanya umachinga mjini sasa mnataka mtunziwe mahindi? Rudi kijijini mkalime mashamba yako mengi. Bashe ana akili sana
 
Wew ulie mwerevu kalime, upo hapo hujui hata mkulima anatumia gharama gani kwa hekari 1 hadi kuvuna lakin unataka umpangie bei ya soko jinga wew
Wanyonge wa Magufuri kumbe ni wavivu wavivu tu vibaka wa vijiweni roho mbaya imewatawala,hawataki mafanikio ya watu wengine kisa wivu na uroho,wao raha yao yao ni kuona watu wakiteseka,mtu unalilia kufunga mipaka huku unasahau kuwa jukumu la Serikali ni kutoa huduma bora kwa wananchi wake na siyo kuzuia fursa za maisha yao.Ndiyo maana nchi yetu inahangaika kwa sababu ya sheria mbovu za awamu ya tano za kutetea umaskini kuona maskini ana thamani kulikop mchapa kazi.
Kama mtu unaona chakula kinaisha nchini tafuta mtaji mkubwa au kopa hela Serikalini nunua mazao kwa kiwango unachotaka wewe,tunza mpaka msimu wa njaa uje uuze kwa bei ya faida utafurahia hayo maisha kuliko kumlaumu Bashe ambaye hana tatizo lolote kwenye changamoto zako.Kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania,soko zuri ndiyo unafuu wa mkulima na Mtanzania kwa ujumla.Asante.
 
kahamie huko Zambia
 
Wewe mpuuz ,ni mkulima gani kapewa ruzuku unayemjua wewe ?
 
Endelea kusuburi tu ila acha mkulima nae afaidike na jasho lake, hujui ugumu wa shamba lakin unataka umpangie bei mkulima anaesota shamba we upo umeweka kende zako juu ya sofa
Tumia Akili kama unazo.

MKULIMA asipangiwe Bei, auze atakavyo.

Serikali chini ya wizara ya bashe Ina wajibu wa kununua mazao muda huu Kwa wakulima na kutunza shehena kubwa katika maghala Ili kudhibiti mfumuko wa Bei.

Unawajua WAMILIKI wa makampuni yanayoingia Hadi mashambani kusafirisha mazao nje ya nchi?

Always, watu wenye uono hafifu kifikra ndo huingizwa katika wimbi la sifia sifia bila kujua dhamira nyuma ya kauli za viongozi.
 
Wewe mpuuz ,ni mkulima gani kapewa ruzuku unayemjua wewe ?
Bunge limepitisha budget kwa ajili ya RUZUKU ya mbolea.

Bila Kodi ya wananchi kutumika kuagiza mbolea na kuweka RUZUKU, Bei ya mbolea isingekuwa hapo ilipo.

Wahuni hao hao wa wizara ya bashe wamepiga na wanachanganya mchanga kwenye viroba.

MKULIMA Badala ya kuhoji kwann mbolea haimfikii Ili kusaidia mavuno kuongezeka,

MKULIMA huyo huyo anafurahi kuwauzia makampuni ya hao hao waliohusika kuhujumu mbolea.

Ujinga utakapopungua Kwa angalau 50%, hatimaye MKULIMA atakuwa tajiri Kwa JASHO lake.
 
Nyie ndo wapumbavu wakubwa.kwamba wewe na wenzio mna akili kuliko serikali??au unafikiri bashe mjinga Sio serikali?
 
Usiwapangie wakulima wapi wauze mazao yao, ardhi kanunua mwenyewe, mbolea kanunua mwenyewe, kaotesha na kupalilia mwenyewe, kavuna mwenyewe halafu baada ya kuvuna unataka umpangie wapi pa kuuza, hii sio akili ni mavi.
Ni kweli kabisa japo mbolea imewekwa ruzuku ambayo hairejeshwi wakati wa kuuza mazao yao hivyo kwa namna moja au nyingine Serikali ina hisa hapo. Nafikiri Muhimu zaidi hapa ni Elimu Elimu Elimu.....
Kwa kukosa Elimu wakulima wanauza mahindi/mazao kwa fujo bila kujiwekea akiba, baada ya miezi sita wanalia kuwa hawana chakula na kuilaumu Serikali kwa kutowapelekea mahindi.....
 
Asante sana ndugu yangu,Kwa mawazo Haya mjadala ufungwe kabisa[emoji120][emoji120][emoji109]
 
Wewe ni mpumbav , kwa hiyo mkulima unayemuita kupe ndio unategemea alime kwa. Tabu kukulisha wewe mjini?
 
Nakuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…