Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
No reform no electionMsaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba
Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola
Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine
Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge
Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Hasira ni hasaraMsaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba
Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola
Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine
Machozi alienda kwenye show hiyo na kulipwa milioni 12 na baadae Ruge akampigia simu na kumuuliza amelipwa ngapi na alipomtajia kiasi hicho,Ruge akamuambia malipo yake yeye ni milioni moja tu hivyo anatakiwa arudishe fedha nyingine(milioni 11) kwa Ruge
Baada ya mabishano makali, Hussein Machozi aliamua kumpa hela yote milioni 12, hata ile milioni 1 hakuchukua tena, baada ya kuambiwa hivyo na rafiki yake Chief Kiumbe
Pengine Dudubaya alikuwa sahihiKumbe ndio maana kalikufa mapema
Wandani wansema Kuna muungwana alitoa tip Kuna Gypsum wawahi site.Ninaamini tuhuma alizotuhumiwa Ruge zilikuwa za kweli, huenda hata konda boy kuna sehemu alimzingua ndo maana akatafuta AK47 ili show iishe mapema.
Hizi show za serikali za kupigiwa pande, sidhani kama kuna formality ya kimkataba kihivyo kwa msanii, labda siku hiziMsanii anafanyaje show bila mkataba wa maandishi?
Hizi show za serikali za kupigiwa pande, sidhani kama kuna formality kihivyo, labda siku hizi
Show za serikali ruge ndiye aliyekuwa akitoa kwa wasanii.haya maneno tu. Yanaonesha hussein machozi alikuwa anamtegemea ruge ndio maana hata show alikuwa anazipata kwa kumuomba ruge
"
Machozi alieleza chanzo cha hayo ni pale alipomfuata boss huyo wa THT na kumuomba kuwekwa kwenye show ya kumkaribisha Magufuli Ikulu na Ruge kumtukana matusi yaliyomplelekea kupandwa na hasira kali na kuelekea kwenye gari lake kubeba bastola
Akiwa anaelekea kwenye gari lake ndipo alipoitwa na masanii mwingine anayeitwa Ditto na kumuambia kuwa Ruge amekubali kumuweka kwenye show nyingine"