Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Kwani uongo, wewe huwa unajiona Salama mtaani kule Tabata au Mwenge usiku? Hata ukilala itabidi uweke komeo na lango la chuma. Ukiwa na gari nzuri hapo ni balaaa. Hata mimi naogopa si uongo. Umeshawahi kukaa Ulaya, marekani, Canada, Singapore au hata China tu?Marekani sio rafiki kwani wamekataza Raia wao kuja hapa.
Rais wetu anakwenda huko kufanya nini??
View attachment 2186624
Kwa hiyo kwa Logic yako, kama Marekani aliua watu Iraq, Afghan, Japan etc etc basi Russia naye aue tu?Kwa taarifa yako hakuna taifa loliloua watu wengi duniani kama marekani!! Huko Iraq, Syria, Afghanistan na funga kazi ni huko Japan alikopiga Bomu la nyuklia.
Kama mko neutral si ndo mkaitangazie dunia yote ielewe?!Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.!
Umaskini uondolewa na watu wenyewe...Fikra za utegemezi hazitatuondolea kero za maendeleo. Swali la msingi tangu tumepata uhuru tumekuwa tukitegemea na kupewa misaada, je, imetuondolea umaskini?
Wewe toka upigwe ban kukanyaga marekani kwa tuhuma zako za kudhulumu uhai wa watu bado unatapa tapa sana bashite.Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.
Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).
Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Ndio maana mtoa post kashauri kuwa sio wakati mzuri kwake kwenda Marekani. Yaani uende ugenini kwa mtu halafu useme unafanya yako? We Mtanzania kweli?Yaani usifanye mambo yako kisa mtu mmoja tu aliyeamua kumvamia mwingine kwa ajili ya ego yake?
Wanatumia akili sio nguvu za vita kama anavyofanya huyo Maskini unaemshobokea..Eti Russia maskini wa kutupwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ingekua hivo basi hao unaowashobokea wasingetumia nguvu kubwa kumdhoofisha kiuchumi kupitia vikwazo,,,Russia sio zimbabwe na wala usiifananishe na Tzn hatuifikii,,View attachment 2186719
Mi sina cha kukuambia bwanaNdio maana mtoa post kashauri kuwa sio wakati mzuri kwake kwenda Marekani. Yaani uende ugenini kwa mtu halafu useme unafanya yako? We Mtanzania kweli?
Good!Mi sina cha kukuambia bwana
Mbona mnahangaika na Samia aikamilishe Kwa mwaka mmja? Mwaka 1 vs miaka 6 upi ni mda mfupi?Kama ungeorodhesha ambayo unaamini kwa muda wa miaka 6 angeyakamilisha, hoja yako ingekuwa na uzito. Lakoni ukweli ni kwamba alishughulikia miradi ya kimkakati, naamini usingetegemea ikamilike ndani ya muda mfupi, na akaboresha na kupanua huduma za jamii (elimu na afya)
Unajua kuna watu hapa JF wanadhani mambo ya mahusiano ya kimataifa yanaendeshwa kama wanavyofikiria wao. Huyu mama kwenye diplomasia ya uchumi amefaulu sana kwa mazingira ya sasaAgenda ya kuhitaj misaada haikwepeki! Pia mzungu sio mjinga eti umkwepe kwa kukaa ndan kwako unless otherwise usimtegemee kwa chochote! Baki kwako usiende kwao lkn agenda zao watakutupia mezan na uzifanyie kaz.
Kwenye utawala wa sheria tuhuma haimzuii mtuhumiwa kupumua, ushahidi unahitajika kumshughulikia kisheria vinginevyo utaumia rohoni kwa kusubiri matokeo unayoyafikiria ambayo hayatatokeaKinana na tuhuma zote hizo bado unamfagilia,are you crazy!Oh,my God,tumekwisha kwa mitizamo hii,Watanzania kushnei.
Kutokua na imani nae haimzuii yeye kuendelea kuwa rais!!Sina imani na Bi Mkubwa kabisa, naona kama anataka kutuingiza chaka hivii?
Kuna sehemu nimesema asiwe rais?Kutokua na imani nae haimzuii yeye kuendelea kuwa rais!!
Kiongozi kuto-watendea haki unao-waongoza na wao hatimaye wakanung'unika inatosha wewe kiongozi Mungu kukuwajibisha.Samia awe makini sana,yapo maandishi tayari ukutani👇Kwenye utawala wa sheria tuhuma haimzuii mtuhumiwa kupumua, ushahidi unahitajika kumshughulikia kisheria vinginevyo utaumia rohoni kwa kusubiri matokeo unayoyafikiria ambayo hayatatokea
🤣🤣🤣 sasa yule mshamba angeweza kwenda nchi gani, Samia ni level nyengine hata kabla ya kuwa rais, waulize wanaomjuaHiyo ni dharau!! Nampongeza Magufuli kukaa zaidi ya miaka 5 bila kupiga hodi kwenye mlango wa beberu yeyote!
Watanzania hatuihitaju Marekani, tunamhitaji Mungu!!
Hayo maandiko yameandikwa na kiumbe kama Samia, hayana madhara yoyoteKiongozi kuto-watendea haki unao-waongoza na wao hatimaye wakanung'unika inatosha wewe kiongozi Mungu kukuwajibisha.Samia awe makini sana,yapo maandishi tayari ukutani👇
View attachment 2186844