The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Maskini wa kutupwa licha ya kuwa na mali nyingi kama Tzn tuu..
Kama ni tajiri kasaidia nini Nchi za kijaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini wa kutupwa licha ya kuwa na mali nyingi kama Tzn tuu..
Na wewe kuwa shoga kama unapenda.Mashoga msiojitambua mmedanganywa na shetani marekani kwamba it's sacred to be gay.
yawezekana pia ni vyote kwa pamoja anakipiga chenga na chenyewe kinamchenga😂
Mandera ndo kitu gani? Mimi uandishi wa namna hii huwa naishia njiani kusoma naona mwandishi kama ni kilaza kwakweli.Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.
Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).
Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Mm pia nilifikiri hvyo Lkn siyo sawa kwani Biden Hana muda huo utakachopewa Ni security tu ya vip protection na uendelee na mishe zako zilizokuleta USA ..jamaa Ana kuwa na ratib fixed San eti atengue shughuki zake aende akampoke Samia hata waziri tu wa maswla ya kigeni bwan mike pompeo hawEzi tumwa akampokei sshHalafu sijui huko atapokelewa na nani pale airport! Maana kiprotocol ni Rais hupokelewa na Rais! Je Rais Biden ataenda kumpokea? Kinyume Cha hapo ni fedheha Sana kwa Tanzania!
Pompeo aliondoka na Trump.hata waziri tu wa maswla ya kigeni bwan mike pompeo hawEzi tumwa akampokei ssh
huko urusi hakuna cha maanamama akitoka hapo aende urusi tu
kama amealikwa na biden atapokelewa angalau na bi harris makamu wa rais ila kama amejipeleka mwenyewe atapokelewa na balozi wakeHalafu sijui huko atapokelewa na nani pale airport! Maana kiprotocol ni Rais hupokelewa na Rais! Je Rais Biden ataenda kumpokea? Kinyume Cha hapo ni fedheha Sana kwa Tanzania!
Swali lenye uzito, kitaifa, pasipo kumlenga mtu, ni je, deni hilo limetumikaje?Vipi kuhusu deni la taifa ndani ya miaka 5 iliyopita
Kama ungeorodhesha ambayo unaamini kwa muda wa miaka 6 angeyakamilisha, hoja yako ingekuwa na uzito. Lakoni ukweli ni kwamba alishughulikia miradi ya kimkakati, naamini usingetegemea ikamilike ndani ya muda mfupi, na akaboresha na kupanua huduma za jamii (elimu na afya)Mwendazake wenu huyo hakuna alichokamilisha kwa miaka 6,alikuwa anashika mambo mengi kama mwanamke huku hajui Hata kutafuta pesa.
Halafu sijui huko atapokelewa na nani pale airport! Maana kiprotocol ni Rais hupokelewa na Rais! Je Rais Biden ataenda kumpokea? Kinyume Cha hapo ni fedheha Sana kwa Tanzania!
Mm pia nilifikiri hvyo Lkn siyo sawa kwani Biden Hana muda huo utakachopewa Ni security tu ya vip protection na uendelee na mishe zako zilizokuleta USA ..jamaa Ana kuwa na ratib fixed San eti atengue shughuki zake aende akampoke Samia hata waziri tu wa maswla ya kigeni bwan mike pompeo hawEzi tumwa akampokei ssh
Ssh atapokelewa na baloz yake liyo Washington DC
Ssh hajui watz wanataka ni siyo katiba Wala blahbla Ni economy Reformation tu
hata kama akilaani Urusi kuna ubaya upi? Urusi hawezi kuchinja watu kiasi hiko tukae kimya, eti katisaidia, ndiyo achinje kiasi kile? Hata hivyo usiwe kichwa kibovu hata wakati unasema walikusaidia Ukraine nayo ilikuwa Soviet Unioni na Urusi pia, sasa wote ni Ex Soviet Union wewe Kwa nini uchague Urusi tu ndiyo alikusaidia?Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.
Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).
Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Msiwe mnaropoka mambo msiyoyajua. Wewe ni mwongo mkubwa.
Hivi unajua kuwa kutoka kwa Mandela gerezani ilikuwa ni baada ya Marekani kuuwekea vikwazo utawala wa makaburu? Marekani haikuwahi kutamka kuwa Mandela au kiongpzi yeyote wa ANC ni gaidi.
Urusi haikuwahi kuzisaidia nchi za Afrika kupata uhuru. Bali wapigania uhuru wa Afrika, walikuwa wakinunua silaha toka Urusi kwa sababu ya unafuu wa bei. Urusi mchango wake kwa Afrika, iwe wakati kupigania uhuru au baada ya uhuru, ni minimum. Nchi ambayo ilikuwa na msaada kwa Afrika katika kupugania uhuru ni Kyuba, siyo Urusi.
Kitu pekee ambacho Urusi ilikuwa ikikitoa kwa nchi za Afrika ni nafasi za masomo.
Kwa taarifa yako hakuna taifa loliloua watu wengi duniani kama marekani!! Huko Iraq, Syria, Afghanistan na funga kazi ni huko Japan alikopiga Bomu la nyuklia.hata kama akilaani Urusi kuna ubaya upi? Urusi hawezi kuchinja watu kiasi hiko tukae kimya, eti katisaidia, ndiyo achinje kiasi kile? Hata hivyo usiwe kichwa kibovu hata wakati unasema walikusaidia Ukraine nayo ilikuwa Soviet Unioni na Urusi pia, sasa wote ni Ex Soviet Union wewe Kwa nini uchague Urusi tu ndiyo alikusaidia?
Au wewe umezaliwa jana? Wakati wa vita ya Tanzania na Uganda Soviet iliuza silaha Kwa Uganda na Tanzania pia, unafikiri duniani kuna siasa za kupendana?
baada ya Cold War Russi haina maana tena kwetu au tofauti na Ukraine, we can get anything from anywhere
Mikopo ya kupikiaTuambiwe mapema kama ameendea misaada/mikopo
Maskini wa kutupwa licha ya kuwa na mali nyingi kama Tzn tuu..
Kama ni tajiri kasaidia nini Nchi za kijaa?