Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Mkuu ukishasema Jesus inaanisha na inahusiana na Ukristo moja kwa moja. Kwanini Isingekuwa Muhaamed dhidi ya Issa ambaye ni mtu wao mkuu? Je kuna mdaharo wa upande mmoja? Tangazo lao wanataja ni mdahalo mkuu na ndio maana tittle ipo hivyo.Huo sio mdahalo.
Ni muhadhara. Mlio wengi mnachanganya Jesus Vs Muhammad na Jesus & Muhammad.
Mnenaji anakususia Jesus and Muhammad wala si mdahalo.
Ndio Roman Catholic awezi fanya ibada Lutheran,na hivyo hivyo kufanya ibada kwa msabato,mlokole yoyote,mprotestant,A O G,nk,na vitabu vyao ni tofauti,katika uislamu kote duniani Quran ni ile ile na ibada zile zile uwe Tanzania uwe uchina nk,uliza utaambiwa.Kwahiyo una uhakika kuwa Mkristo haingii Kanisa lolote lile la dhehebu lolote lile?
Jambo usilo lijua asiwe unaliongea.
Wakizungumzia Quran, watajikuta kiachoongelewa toka kwenye ayat zake ni ngono na kuchinja watuWanafanya ila wanongelea mambo yanayo husu bible na sio upande wa pili
Waislam wao wanamkubali na kumuenzi Issa bin mariam na sio Yesu Kristo wa Nazareth.Wewe hujaelewa kusudi , waislamu wanamuenzi na kumkubali yesu kuliko dini zote. Lengo la huo mjadala ni kujadili jumbe walizoleta hao manabii kwa waislamu katika nyakati zao tofauti walizo kuja.
Tofauti ni kubwa sana mpaka hupelekea mauaji ya kikatili kati ya Sunni vs Shia.Katika uislamu tofauti yetu ni ndogo sana,kiasi kwamba haiwezi kuleta athari yoyote na mtu wa nje hawezi kuiona abadani, muislamu anaweza kuswalia msikiti wowote ule bila tatizo,lkn kwenu si hivyo.
Akija pale mtu kama Ndacha hawatampa nafasi ya kuuliza maswaliMnataka waislamu wauache uislamu 😁
Toa mifano ndugu itapendeza zaidi,ni wapi uko mapigano yanatokea.Tofauti ni kubwa sana mpaka hupelekea mauaji ya kikatili kati ya Sunni vs Shia.
Huu mstari si uliuleta wewe wa MATHAYO 6:9 ?
View attachment 3187686
Mbona unauliza tena wewe kama vipi si uniambie tu Karibu kwenye mdahalo wa Dr Zakir Naik utapata majibu yako, basi ningekuelewa kibingwa.
Toa mifano ndugu itapendeza zaidi,ni wapi uko mapigano yanatokea.
Ndio changamoto yenu hiyo. Kukosa uelewa wa Mambo na kukaririshwa madrassa.
Sasa unaruka hoja na kuanzisha mengine. Gay Chrch au Satanic Church linahusiana vipi na Ukristo mkuu?
Umenisikitisha sana. Aiseeeee
Huyo Sheikh ni mjanja mjanja tu. Kiboko yake ni Christian Prince, kuna siku CP akaingia kwenye the so called online mdahalo wake, alitetemeka kweli kweliWanafanya against nani? Wanafanya sana akian Jeff Massawe na akina Ndacha ila kunakuwa na Sulle au Shekhe yule mzee msema hovyo.
Hiyo ni sawa, sasa huu ni wa nani against nani? Shekhe Sijui Zikhir atadebate na nani mkuu? Kwamba Yeye against yeye na anajadili kuhusu Muhammad na Yesu.
Wangesema amekuja kutoa darasa au mawaidha kwa waislamu ni sawa ila kosa ni hilo la kuwa mdahalo lakini anafanya mwenyewe.
Maneno ya Quran kaandika nani?maneno haya kaandika nani ??
Roboti Wa Nape said:
Wacha uongo wewe. Nani anakataa kusali kanisa lolote?
Ndio nikakuuliza ,
unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??
Tulia ujibu swali kwa furaha
Huyo hata mi namkalisha na ndio maana nilimpigia simu shehe anayeratibu ili niwe upande wa Kikristo akachomoa. Ameniambia sio mdahalo ni Muhadhara tu. 😀😀😀😀Simbaulanga tu au ndacha anaweza kumpelekea moto huyo kanjibay hadi akarudi alikotokea kwa kuogelea.
labda uliandika wewe na babayo , umejibadilisha id unajisahau ??Maneno ya Quran kaandika nani?
Konachotatiza hapa ni state TV kurusha huo mkutano huo wenye ishara za kuzua sintofahamu miongoni mwa raia wa nchi husika.YESU lazima ajadiliwe. Yeye ni mwokozi wa ulimwengu. Hata Mohamed anamtumaini yeye.
Na Siku za mwisho injili itahuburiwa Dunia kote hii ni pamoja na misikitini.
Nani kabadilisha ID mkuu? We hujielewi nimeshakupuuzia mkuu. Yaani unasema niingie kwenye ibada ya mashoga na mashetani.labda uliandika wewe na babayo , umejibadilisha id unajisahau ??
Nani kabadilisha ID mkuu? We hujielewi nimeshakupuuzia mkuu. Yaani unasema niingie kwenye ibada ya mashoga na mashetani.
Una akili kweli wewe?
Huyo Sheikh ni mjanja mjanja tu. Kiboko yake ni Christian Prince, kuna siku CP akaingia kwenye the so called online mdahalo wake, alitetemeka kweli kweli
View: https://youtu.be/1lYMqt4M_gg?si=fCLcKxvbx5FTy-SM
View: https://youtube.com/shorts/zpnGRzYvCqI?si=J3er4SYtKANwFZn9