Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo (lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani) unamuona kabisa kuwa Jamaa ana Njaa na Kamnunulia Yule Demu Chakula kile kwa Sifa tu lakini Rohoni mwake anajilaumu kwani huenda hata Nauli ya Kuianza Siku yake ya Kesho hana.

Je, huu Mfumo unaitwaje na kwanini Ujitutumue mbele ya Demu wako kutafuta Sifa wakati unajua huna Uwezo huo?
 
Tatizo lipo hapa
edr.jpg
 
Hiyo inaitwa kuigiza maisha mkuu
 
Huu mfumo niliutumia sana enzi zangu nikiwa bado najitafuta😂😂😂
 
Back
Top Bottom