Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

Vijana wa kileo wamekwisha.. Watoto wa kike walishawazidi akili.. Na walivyo na roho mbaya anakula mpaka anamaliza na wewe kidume umekaa hapo.. Kutoka hapo mnaenda lodge.. Huyo mwanaume ataweza nini na njaa zake..??
Wandewa huwajui wewe tyri wanakuwa wameshashindilia ugali wa dona na dagaa kazi inaenda pigika vizuri tu
 
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo (lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani) unamuona kabisa kuwa Jamaa ana Njaa na Kamnunulia Yule Demu Chakula kile kwa Sifa tu lakini Rohoni mwake anajilaumu kwani huenda hata Nauli ya Kuianza Siku yake ya Kesho hana.

Je, huu Mfumo unaitwaje na kwanini Ujitutumue mbele ya Demu wako kutafuta Sifa wakati unajua huna Uwezo huo?
huo ni mfumo wa 9-1-0..... Hakuna kupandishwa timu. Unakabia chini hakuna kushambulia.
 
(lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani)
 
Kwenye English kuna hii misemo,
"It's my treat",
"Let's go French",-this is when none remembers who ordered what at the end when the bill is brought forward.
"It's on me".
"Let's go Dutch"- it means everyone pays for themselves.
"Let's go German"- everyone calculate his/her exact share of the billi he/she spent.
"Let's go Italian"- this is when your grandma insists in paying the bill fir everyone and you'd better not argue.
"Let's go American"- a bill which involve a tipping!
 
Hiyo kwa kingereza inaitwa Courtship.Hata wanyama hata ndege au mbuzi kabla dume halijapata huduma lazima kwanza lionyeshe manjonjo na kubembeleza.
Hii iko tangu enzi ya Adam na Eva tusiwalaumu wanawake.
Hata mkeo unaweza mrushia vocha ya maongezi na bado akakuandikia tafadhali nipigie
Sema kinachonikera tu ni unakuta unampa mwanamke ahadi kumpa offer anakuja na rafiki zake kuna siku niliwakomesha nilitokea mlango mwingine.
 
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo (lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani) unamuona kabisa kuwa Jamaa ana Njaa na Kamnunulia Yule Demu Chakula kile kwa Sifa tu lakini Rohoni mwake anajilaumu kwani huenda hata Nauli ya Kuianza Siku yake ya Kesho hana.

Je, huu Mfumo unaitwaje na kwanini Ujitutumue mbele ya Demu wako kutafuta Sifa wakati unajua huna Uwezo huo?
Wataalamu wanasema tatizo la afya ya akili linakuwa kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom