Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo (lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani) unamuona kabisa kuwa Jamaa ana Njaa na Kamnunulia Yule Demu Chakula kile kwa Sifa tu lakini Rohoni mwake anajilaumu kwani huenda hata Nauli ya Kuianza Siku yake ya Kesho hana.

Je, huu Mfumo unaitwaje na kwanini Ujitutumue mbele ya Demu wako kutafuta Sifa wakati unajua huna Uwezo huo?
Unampeleka demu akale wakati anatoka kwao kwanini hakula?
 
Kitu wanaume wanaihangaikia sana wenyewe wanawake wala hawakithamini,mwanaume ukiipata ichape hasa na wala usiihurumie
 
Kitu wanaume wanaihangaikia sana wenyewe wanawake wala hawakithamini,mwanaume ukiipata ichape hasa na wala usiihurumie
Na mpaka 'Nyuma' pita kama Wakali wa Michezo hiyo tuwafanyiavyo.
 
Back
Top Bottom