GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo Wewe Mwanaume umnunulie Demu Chakula cha gharama kisha ukae Njaa na uwe unamtizama vile anavyokula?Mapenzi ni gharama.
Hahahahaha hiyo ni akili ya Mtu binafsi kutaka mambo yaliyo nje ya uwezo wake.Ndiyo Wewe Mwanaume umnunulie Demu Chakula cha gharama kisha ukae Njaa na uwe unamtizama vile anavyokula?
Na 85% wako hivyo.Hahahahaha hiyo ni akili ya Mtu binafsi kutaka mambo yaliyo nje ya uwezo wake.
Hiyo inaitwa kuigiza maisha mkuuUnakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo (lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani) unamuona kabisa kuwa Jamaa ana Njaa na Kamnunulia Yule Demu Chakula kile kwa Sifa tu lakini Rohoni mwake anajilaumu kwani huenda hata Nauli ya Kuianza Siku yake ya Kesho hana.
Je, huu Mfumo unaitwaje na kwanini Ujitutumue mbele ya Demu wako kutafuta Sifa wakati unajua huna Uwezo huo?
4-5-1Je, huu Mfumo unaitwaje
Huu mfumo niliutumia sana enzi zangu nikiwa bado najitafuta😂😂😂Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo (lakini ukimuangalia kwa Macho yetu ya Kimedani) unamuona kabisa kuwa Jamaa ana Njaa na Kamnunulia Yule Demu Chakula kile kwa Sifa tu lakini Rohoni mwake anajilaumu kwani huenda hata Nauli ya Kuianza Siku yake ya Kesho hana.
Je, huu Mfumo unaitwaje na kwanini Ujitutumue mbele ya Demu wako kutafuta Sifa wakati unajua huna Uwezo huo?