Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Me nataka jamani lakini subiri niroge papuchi yangu.Ukiingia tu basi mihela mwaaaaaa
 
Hahahahaaa....so mambo yote kupuliza tu siku hizi?

Mkuu Tatiana bila kulaza nyama mbichi kwa K siku tatu halafu nakukalangazia unajitafuna haswaaa. Haki ya nani wazee wa michepuko mnalishwa uchafu sana. We ukitaka wachokoze mabinti wadogo wanaoajiriwa maofisini watakuambia yote jinsi wanaroga waume za watu.
 
Nimejaa tele kama kombe la dunia, naona mama kirikuu kaamua kuwarusha roho mmemsema sana na ndoa yake ilivyododa

Jamani mlokole wetu, kweli dhambi iliyokushinda kuacha ni umbea tu, haya lete mambo nasikia ana magari manne na shamba kubwa bagamoyo, ni kweli?
 
Wambeya wa hilii jukwaaa mupooooo heheiyaaaaaaaaaaaa mtakufa na kiziba cha roho warumi nipo busy kidogo baadae narudiii
 
Last edited by a moderator:
Ntakutumia upumzishe mauno mpaka siku iz umeanza kubinuka hat cmu hujanunuliwa mfyuuu manina, ndo mjifunze kuroga, aliyekwambia mjini msingi kiuno nani??

Sasa binam wengine wanabinua kiuno wanalazimisha ta.ko lionekane wakati halipo nao unawasaidiajee,au wakaroge chinaa
 
Mkuu Tatiana bila kulaza nyama mbichi kwa K siku tatu halafu nakukalangazia unajitafuna haswaaa. Haki ya nani wazee wa michepuko mnalishwa uchafu sana. We ukitaka wachokoze mabinti wadogo wanaoajiriwa maofisini watakuambia yote jinsi wanaroga waume za watu.

More mbinu pls...nimwekee mchepuko wangu
 
Mkuu Tatiana bila kulaza nyama mbichi kwa K siku tatu halafu nakukalangazia unajitafuna haswaaa. Haki ya nani wazee wa michepuko mnalishwa uchafu sana. We ukitaka wachokoze mabinti wadogo wanaoajiriwa maofisini watakuambia yote jinsi wanaroga waume za watu.

Mkuu hii ni mojawapo ya Limbwata,unaungiwa nyama na mboga ya majani au rost mixture, wanaume kweli tunapitia majaribu na vituko!!
 
attachment.php

Mchoraji wa ramani hovyo

Mtu una pesa nyumba mvutoless
 
Ndo nimeanza shost.....sasa hv linatakiwa jina lake kamili na mama yake.Sasa mama yake ndo balaa sijui nitalipata wapi!!!

Mwambie baby nataka niluzalie mtoto wa kike mamako anaitwa nani ili tuanze kuzoea jina... lazima atoe
 
Mkuu hii ni mojawapo ya Limbwata,unaungiwa nyama na mboga ya majani au rost mixture, wanaume kweli tunapitia majaribu na vituko!!

Na bado tunaendelea kutafuta mbinu mpya lazima mkome
 
Mwambie baby nataka niluzalie mtoto wa kike mamako anaitwa nani ili tuanze kuzoea jina... lazima atoe

Looh au baby naomba no ya mama kuna mzigo nataka nimtumie kidogo....basi unazama kwa tigopesa mambo hadharan
 
Back
Top Bottom