Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
unafikir wanahonganga bure? Mpaka warogwe wale ooh, kuna mganga kiboro dinda yupo kule mabopande huyi ni nOuma sana
hahahaaaaaa hilo jina sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafikir wanahonganga bure? Mpaka warogwe wale ooh, kuna mganga kiboro dinda yupo kule mabopande huyi ni nOuma sana
Hahahahaaa....so mambo yote kupuliza tu siku hizi?
Nimejaa tele kama kombe la dunia, naona mama kirikuu kaamua kuwarusha roho mmemsema sana na ndoa yake ilivyododa
Ntakutumia upumzishe mauno mpaka siku iz umeanza kubinuka hat cmu hujanunuliwa mfyuuu manina, ndo mjifunze kuroga, aliyekwambia mjini msingi kiuno nani??
kipochi manyoa
k
papuchi
ahahaha
Me nataka jamani lakini subiri niroge papuchi yangu.Ukiingia tu basi mihela mwaaaaaa
Mkuu Tatiana bila kulaza nyama mbichi kwa K siku tatu halafu nakukalangazia unajitafuna haswaaa. Haki ya nani wazee wa michepuko mnalishwa uchafu sana. We ukitaka wachokoze mabinti wadogo wanaoajiriwa maofisini watakuambia yote jinsi wanaroga waume za watu.

Shosti tuchakarike
Ndo nimeanza shost.....sasa hv linatakiwa jina lake kamili na mama yake.Sasa mama yake ndo balaa sijui nitalipata wapi!!!
Mchoraji wa ramani hovyo
Mtu una pesa nyumba mvutoless
Mkuu hii ni mojawapo ya Limbwata,unaungiwa nyama na mboga ya majani au rost mixture, wanaume kweli tunapitia majaribu na vituko!!
Na bado tunaendelea kutafuta mbinu mpya lazima mkome
Kwa wasiojua tu na warugaruga,wengine tuna bullet proof za ndumba!!
Mchoraji wa ramani hovyo
Mtu una pesa nyumba mvutoless
Hahahahahaaaa...utumie fursa vizuri sasa sio urukeruke....
Mwambie baby nataka niluzalie mtoto wa kike mamako anaitwa nani ili tuanze kuzoea jina... lazima atoe