Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe amehusahau atanunua mwingine kama uhu uhu ni jero tu wanauza
Labda kwa watu wa Daslam huku kwetu..miswaki yetu hii hapa
1000047459.jpg
 
Back
Top Bottom