Huu ndio mswaki unaotumika sana hapa Tanzania na Watanzania wengi

Dar waone watu walivyo maridadi lakini ni wachafu hatari, mtaani ni harufu za kinyes na maji machafu
 
Dar waone watu walivyo maridadi lakini ni wachafu hatari, mtaani ni harufu za kinyes na maji machafu
Ndio maana watu sasa hivi wanakimbilia nje ya mji...maeneo kama Goba bado ni filled with fresh clean natural air
 
Hapo babe wako hachelewi kuutumia kama kipakio cha gel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…