Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

Shemeji sukuelewi wajua....
 
Kina nudrini na wale chongo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hapa kuna muhtasari wa hadithi mojawapo maarufu kutoka Alfu Lela Ulela (Arabian Nights):

Hadithi ya Aladdin na Taa ya Ajabu

Muhtasari:
Aladdin alikuwa kijana masikini aliyeishi na mama yake. Siku moja, mchawi kutoka mbali alijifanya mjomba wake na kumshawishi Aladdin aingie kwenye pango lenye hazina kubwa. Lengo lake lilikuwa kumtumia Aladdin kuchukua taa ya kichawi iliyokuwa na uwezo wa kuitwa jini mwenye nguvu za ajabu.

Aladdin alifanikiwa kuipata taa, lakini akagundua nia ya mchawi na hakumpatia. Aliporudi nyumbani, bila kujua uwezo wa taa, aliisuguaโ€”na hapo jini mkubwa akatokea tayari kutimiza matakwa yake.

Kwa msaada wa jini, Aladdin alipata mali, heshima, na baadaye alimuoa binti mfalme. Hata hivyo, mchawi yule yule alirudi na kujaribu kuiba taa, lakini Aladdin, kwa werevu na msaada wa jini, aliweza kumshinda.

Maadili ya hadithi:
  • Uaminifu na hekima huleta ushindi.
  • Tamaa na udanganyifu huishia kwa hasara.
  • Mtu mdogo anaweza kufanya mambo makubwa kwa msaada sahihi.

Binafsi nimesoma hicho kitabu mara nyingi miaka mingi kidogo iliyopita, lakini muhtasari huu umeandaliwa na ChatGBT
 
Mamtu ya CCM kumbe hayajui hata utaratibu wa kupata mgombea wao wenyewe, ni aibu kubwa sana yanahitaji zaidi ya no reform no election, imagine kukosoa au maoni wasiyokubaliana nayo ni kifo, kesi au kupotezwa, huyu mama shetani must go
Dragon must go,siyo?
 
Anko agiza safari na mdudu hapo ulipo Kisha tuma lipanamba ya TTCL,case ๐Ÿ”’
 
Nipo hapa nasoma tafiti za watu tofauti zinazohusu NDE. Karibu watafiti wote wanataja findings zile zile
 
Jukwaa la wazushi Muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ