Shida ni moja tu mliyo nayo waislamu ni wanafiki sana. muumini mwenzenu akisema vzr kuhusu Allah basi ataungwa mkono na kumtukuza ni muislamu wa kweli.Akipiga kwenye mshono mna mkana na kusema huyu sie mwenzetu. mlianza mkamkataa Dr sule majuzi tumeona clip ya Dr mazinge akinadi maji ya upako na kuwaambia waislamu watumie na wanunue mmemkana hadharani kuwa huyu anabiashara zake na hatumtambui mwingine kauza mafuta mkono ya upako mmemkataa. sasa imefika wakati wenzenu wameunga ushoga tene kwa maandamano makubwa huko UK mme wakataa lakini kipindi makanisa yanabadirishwa kuwa misikiti mliwaunga mkono na kushangilia lla kwa hili mnasema sio wenzenu! Sisi wakina mwampsa hatujai wakataa mbali tumeshawabatiza jina la wajasriamali wa dini,na mara zote huwa tuna wajinga ndo waliwao.
Ifike mahala sasa waislamu mtumie akili badala ya hisia zenu.