Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Mama yake labda ndio Ng'ombe. Mama zetu ni binadamu kama sisi.
Sijui kwa nini hii Imani iliwabagua wanawake kiasi hiki.
Thanks to Jesus maana hakuonyesha ubaguzi wala kufundisha tuwabague na kuwatenga wanawake ambao ni Mama zetu.
 
FaizaFoxy . Njoo utoe ufanunuzi
Ukiona hasi yoyote kuhusu Uislam kwenye mtandao, elewa kuwa huyto ni mtu mwenye chuki ya Uidslam anacheza na AI na akili za wjinga ndiyo waliwao.

Uislam upo wazi kabisa, hauna kiongozi. Kila Muislam ni kiongozi wa nafsi yake.

Kwenye Uislam hakuna katiba mpya wala sheria mpya, wala mabadiliko ya katiba, wala Uislam tofauti kutoka sehemu moja kwenda kwengine.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
kundi la mujahidina kina BIG SHOW,malaria2 na wanamgambo wafia dini umewaacha
Hawa ni maamuma tu huwa hawana wajualo zaidi ya kutoa povu..... Mi huwa nawataka tujadiliane Quran na unyama,ushetani wa muddy. Wanakimbia.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Bila shaka iyo subtitles ni ya kueditiw kwa nia ovu ya kumpa huyo kiongozi picha mbaya, kama maneno hayo yangekua ya kwel ameyasema tusingekosa kuyaona BBC na vyomb vingin vya habar,
Hujui lolote. Waulize wenzio wakuambie. Hata neno dogo la kiarabu Hayawan hulifahamu. Wewe utakuwa ndo ng'ombe,mbuzi na kondoo.....
 
Kwahiyo FaizaFoxy ni sawa na mbuzi.
Duh,wapo kama binadamu ili tusiwaogope
Kondoo mshafungwa kamba hapo, mnabwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Hakuna mwanameke mwenye rights duniani zaidi ya mwanamke wa Kiislam.

una mawili kijana, au fata uzushi wa mtandao uliokusudiwa kondoo wasio na akili, au usome Uislam, unasemaje kuhusu wanawake.

Kichapo wanachochezea mazayuni na mshiga zao kutokea kila upande, lazima watampaka kila matope na uharo kila Muiran, sembuse kiongozi wao.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Una mtoto wa kike? Akifika miaka hiyo nataka nije mwoa. Hili jamaa lilikuwa bakaji,sherati na linanajisi vitoto. We huoni haya kumwingilia mtoto wa miaka 9? Na una umri wa yeye hata kukuita babu? Unavuaje nguo kwake? Hata ng'ombe au mbwa hawafanyi hivyo.
 
Huyu mwanamke anayeolewa na mtume akiwa na miaka 6? Huyu huyu ?ana haki kweli ya kuanza tiwa akiwa mdogo. Na baadaye akienda huko kwenu akhera anafanywa chakula na wanaume. Huyo mwanamke anakusanywa na wenzie 71 wanakamilisha idadi ya kuwa wanaliwa tu na wanaume. Yaani yeye ni chombo cha starehe. Aisha. ..alikoseshwa haki yake ya kucheza na watoto wenzie...sababu tu ya tamaa ya muddy ya kutaka bikra baada ya kuwa alioa Bi Khadija ambaye alikuwa kwao wana uwezo so akawa anamlea muddy.😁
 
 

Mna kazi kubwa sana kushindana na nguvu msiyoiona.
 
Mbna Tsa zani wapo wanaoolewa kuanzia miaka 3, husemi?

Au sita na mitatu ina tofauti ipi?

Kitu kama hukijuwi ni heri uulize kuliko kuvumisha ujinga uliojazwa nao kikondoo, alikuja kuolewa mwanao miaka 6?
 

AI kazini, ujanja wako wote umeshindwa kulielewa hoilo? Ukondoo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…