Wewe unanikumbusha ujinga wa binadamu haswa wakiwa na njaa au hawakusoma wanategemea waokozi, waje kuwasaidia tena kwenye mwisho wa dunia 😄
Wafuas wa Bhuda wanamsubiri Bhuda arudi leo zaidi ya miaka 500 B.C ili aje kuwaokoa, na Mahindus wanamsubiri Lal Krishinah leo miaka 3700 ili aje kuwaokoa Wakristo na badhi ya Waislam wajinga wanamsubiri Yesu, wakristo Yesu aje kuwaokoa, na waislam aje kupigana vita na makafiri hahaha.
Mungu amshushe cheo cha Mtume awe ntu wa kawaida? Akirudi Yesu atakuwa hapokei wahi sababu Mrume Muhammad ndio khatimu al anibiyaa. Mnataka .wenyezi Mungu amshusheYesu cheo chake, hizo zote ni ndoto za wajinga.
Kama huyu mjinga anaye sema wanawake ni wanyama, kosa la hao wanawake walio kuwa wanamsikiliza. Wangemuliza swali, je mtoto wa mnyama nayeye ni nani? Au wangemuliza mama yake pia ni mnyama na dada zake.
Akili kitu muhimu sana, we mtoa mada sio kila anaye vaa kilemba na kanzu ni Muislam. Uislam ni mafunzo ya Mtume Muhammad ambaye kawatukuza mama zetu kwa daraja tatu juu ya baba zetu
Mtume Muhammad alisema kheri kherikum liahly, alisema the best among you are the best to your family ni wale wanaheshimu wake zao, mama zao na dada zao. Vipi huyu awaite wanyama, huyu ni mshenzi mmoja hana dini wala adabu.