BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Unadhani yupo sahihi!Quran na Hadith za mtumie ni vitu constant,havibadiliki kulingana na mazingira,na jamaa katumia neno Mungu humo kuonesha ni msimamo wa aina Gani,nadhani Yuko sahihi,tofauti na hapo atakua kama nabii Tito huku bongo.
Kwahiyo mtu akitumia neno Mungu katika maongezi yake hiyo inasahihisha Jambo lake kwa kuwa ametamka Mungu ?
Wapi katika Qur ani Mungu anasema wanawake ni Kama wanyama Kama hiyo clip ilivowekwa?