Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Astaghfirullah mi

Muktadha, muktadha, muktadha

Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?

Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Quran na Hadith za mtumie ni vitu constant,havibadiliki kulingana na mazingira,na jamaa katumia neno Mungu humo kuonesha ni msimamo wa aina Gani,nadhani Yuko sahihi,tofauti na hapo atakua kama nabii Tito huku bongo.
 
Ngoja ng'ombe na kondoo waje tusikie wanasemaje.
Wanakuja
1000014359.jpg
 
Mnaoelewa lugha iliyotumika hizo subtitles nizakweli?

Inaonesha mleta mada anachuki na waislam
Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
 
Back
Top Bottom