Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Quran na Hadith za mtumie ni vitu constant,havibadiliki kulingana na mazingira,na jamaa katumia neno Mungu humo kuonesha ni msimamo wa aina Gani,nadhani Yuko sahihi,tofauti na hapo atakua kama nabii Tito huku bongo.
Unadhani yupo sahihi!
Kwahiyo mtu akitumia neno Mungu katika maongezi yake hiyo inasahihisha Jambo lake kwa kuwa ametamka Mungu ?
Wapi katika Qur ani Mungu anasema wanawake ni Kama wanyama Kama hiyo clip ilivowekwa?
 
Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
Ama kweli tunawasemehe
 
Alipitisha katoto hakajafika hata miaka 10.
Kumfanya huyo eti kiongozi wa dini ni kama kumkashfu Mungu tu, huyu hakua mtume wa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, huyu alikua kiongozi wa shetani. Ni shetani pekee yake ndio anaweza kumruhusu mtumishi wake kupiga show na mtoto wa miaka 8-10. Ndio maana hata leo wanataka eti hili jambo liingizwe kwenye katiba, tuwaonee huruma mabinti zetu.
 
Mtu yeyote anaye amini dini,...ana shida ya afya ya akili,...

Mnaoelewa lugha iliyotumika hizo subtitles nizakweli?

Inaonesha mleta mada anachuki na waislam
Kiukweli ukiwa mfiadini lazima baadhi ya nyuzi zikatike kwenye ubongo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tumsifu Yesu Kristo.
Huwezi kufikia hitimisho kwa kipande hiki tu,kwani hakioneshi context nzima ya mada ilivyokuwa.
Pengine sheikh alikuwa anasema watu wanasema,au wanafikiri hivi....
 
Unadhani yupo sahihi!
Kwahiyo mtu akitumia neno Mungu katika maongezi yake hiyo inasahihisha Jambo lake kwa kuwa ametamka Mungu ?
Wapi katika Qur ani Mungu anasema wanawake ni Kama wanyama Kama hiyo clip ilivowekwa?
Nimesema hapo chini kabisa,kama yupo tofauti na hadithi,Quran na wanazuoni wengine basi atakuwa ni kama nabii Tito TU,apuuzwe,ila kama utatumia common sense vizuri,utagundua jamaa yupo sahihi kabisa,ukiacha kidini hata kijamii TU,nafasi ya mwanamke ni ndogo kiasi Cha kumfanya awe sawa tu na maneno ya kiongozi ustadhi.
 
Uislam dini ya haki tena ukiwa mwarabu na mandevu mengi unaonekana unajua sana dini na wanakupa usemaji mkuu uwasemee dini yao.. haya mmeambiwa na msemaji wenu wanawake ni wanyama ni kundi moja na kondoo na ng'ombe. Ngoja wa vaa kobazi weusi tuwaone mkiwapinga walio waletea dini yenu pamoja na kondoo na ng'ombe waje kutiririka hapa
 
JE izi propagandq zenu za chuki juu y Uislamu je zitasaidia kuzuiya PROMIS NO 3
 
Nao Wanamsemo wao ya kwamba Wanaume Wote Mbwa,,Kwa Sasa Ngoma droo,,Tuendelee tu mpambano Hakuna namna
 
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010

UPUUZI MTUPU, sisi hatufuati mtu kasema nini, tunafata QURAN inasema nini finish. Huku kwetu Waislamu sio kama kule VATICAN ambapo papa anaweza kuamka na kuamua kutunga sheria yake akabadilisha Injili anavyotaka.

Huyu ni mpuuzi mmoja wapo anatumika tu hapo na MAKAFIRI hakuna Muislamu atamfata wala kumsikiliza..Waislamu sio makondoo.. SHWAINI
 
  • Kicheko
Reactions: K11

Punguza makasiriko.
 
Mkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake
Uislam uaelekeza hayo anayofundisha, kama kuna Uislam una maelekezo tofauti na huyo, huo siyo Uislam labda ni Uislam wa Magharibi
 
Back
Top Bottom