Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Hata kwetu wakristo kuna wakina Kiboko ya wachawi na mzee wa upako wanao ongea vitu vya ajabu na kufanya vitu vya ajabu tofauti na Ukristo halisi, sio sahihi kuhukumu imani kwa maneno ya mtu mmoja.
Ingekuwa sawa kama hayo yanatoka kwenye vitabu vya dini ya kiislam.
 
Umesema kiongozi mkubwa wa waislamu, mbona waislamu wenyewe hatumtambui!?
 
Muktadha, muktadha, muktadha

Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?

Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Hao Waislamu wa Iran ndiyo wanashabikiwa na kuaminiwa Waislamu wa Tanzania, undugu katika imani. Old school conservatives majority ndivyo wanavyoamini.
Hata wanapozungumzia 'Firdaus' na 72 virgins hawaelizi huko peponi kama na mwanamke atakabidhiwa vijana 72 bakra au la unless watueleze kiwa pepo ni kwa wanaume tu.
 
Kingine huyo shekhe anazungumza na watu wa jamii yake na anazungumza kwa lugha yake ambayo hatuifahamu, sasa tunathibitisha vipi kuwa kilichotafsiriwa ndio alichokisema?
Nadhani kwako ni rahisi kuibeba hiyo video kishabiki, lakini kwa upande wangu ni lazima nitumie akili na sio mihemko.
 
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010
Bila shaka iyo subtitles ni ya kueditiw kwa nia ovu ya kumpa huyo kiongozi picha mbaya, kama maneno hayo yangekua ya kwel ameyasema tusingekosa kuyaona BBC na vyomb vingin vya habar,
 
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010
Wewe unanikumbusha ujinga wa binadamu haswa wakiwa na njaa au hawakusoma wanategemea waokozi, waje kuwasaidia tena kwenye mwisho wa dunia 😄

Wafuas wa Bhuda wanamsubiri Bhuda arudi leo zaidi ya miaka 500 B.C ili aje kuwaokoa, na Mahindus wanamsubiri Lal Krishinah leo miaka 3700 ili aje kuwaokoa Wakristo na badhi ya Waislam wajinga wanamsubiri Yesu, wakristo Yesu aje kuwaokoa, na waislam aje kupigana vita na makafiri hahaha.

Mungu amshushe cheo cha Mtume awe ntu wa kawaida? Akirudi Yesu atakuwa hapokei wahi sababu Mrume Muhammad ndio khatimu al anibiyaa. Mnataka .wenyezi Mungu amshusheYesu cheo chake, hizo zote ni ndoto za wajinga.

Kama huyu mjinga anaye sema wanawake ni wanyama, kosa la hao wanawake walio kuwa wanamsikiliza. Wangemuliza swali, je mtoto wa mnyama nayeye ni nani? Au wangemuliza mama yake pia ni mnyama na dada zake.

Akili kitu muhimu sana, we mtoa mada sio kila anaye vaa kilemba na kanzu ni Muislam. Uislam ni mafunzo ya Mtume Muhammad ambaye kawatukuza mama zetu kwa daraja tatu juu ya baba zetu

Mtume Muhammad alisema kheri kherikum liahly, alisema the best among you are the best to your family ni wale wanaheshimu wake zao, mama zao na dada zao. Vipi huyu awaite wanyama, huyu ni mshenzi mmoja hana dini wala adabu.
 
Kwa hiyo ukiona ndevu na kanzu tayari ni muislam?huyo anaajenda yake kama ww hapo kuuchafua uislamu sahihi.
Haumzidi huyo kwa Uislamu, kwanza huu utapeli wa Uislamu na Ukristo Waafrika mnalazimisha tu. Yenu ni mizimu tu hata kama mmekuwa brainwashed kiasi kwamba matapeli wa Kiarabu na Kizungu wameshawaingiza mkenge jumlajumla.
 
Bila shaka iyo subtitles ni ya kueditiw kwa nia ovu ya kumpa huyo kiongozi picha mbaya, kama maneno hayo yangekua ya kwel ameyasema tusingekosa kuyaona BBC na vyomb vingin vya habar,
Tuwekee subtitles za ukweli kwa ujuavyo wewe, wenzako wamemkana 'eti' siyo Muislam huyo 😃 😀.
 
Wewe unanikumbusha ujinga wa binadamu haswa wakiwa na njaa au hawakusoma wanategemea waokozi, waje kuwasaidia tena kwenye mwisho wa dunia 😄

Wafuas wa Bhuda wanamsubiri Bhuda arudi leo zaidi ya miaka 500 B.C ili aje kuwaokoa, na Mahindus wanamsubiri Lal Krishinah leo miaka 3700 ili aje kuwaokoa Wakristo na badhi ya Waislam wajinga wanamsubiri Yesu, wakristo Yesu aje kuwaokoa, na waislam aje kupigana vita na makafiri hahaha.

Mungu amshushe cheo cha Mtume awe ntu wa kawaida? Akirudi Yesu atakuwa hapokei wahi sababu Mrume Muhammad ndio khatimu al anibiyaa. Mnataka .wenyezi Mungu amshusheYesu cheo chake, hizo zote ni ndoto za wajinga.

Kama huyu mjinga anaye sema wanawake ni wanyama, kosa la hao wanawake walio kuwa wanamsikiliza. Wangemuliza swali, je mtoto wa mnyama nayeye ni nani? Au wangemuliza mama yake pia ni mnyama na dada zake.

Akili kitu muhimu sana, we mtoa mada sio kila anaye vaa kilemba na kanzu ni Muislam. Uislam ni mafunzo ya Mtume Muhammad ambaye kawatukuza mama zetu kwa daraja tatu juu ya baba zetu

Mtume Muhammad alisema kheri kherikum liahly, alisema the best among you are the best to your family ni wale wanaheshimu wake zao, mama zao na dada zao. Vipi huyu awaite wanyama, huyu ni mshenzi mmoja hana dini wala adabu.
Huyu anaujua Uislamu zaidi yako, Waafrika mmelishwa dini za kigeni(matango pori) sasa mnajifanya mnazijua kuliko waliozileta. Hayo mavitabu mnayotapeliwa nayo yamebuniwa na kuandikwa na watu.
 
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010
Embu tutajie jina na cheo cha huyu kiongozi ili tuendelee kujadili la sivyo utakuwa unaokota okota vi clip huko google unaleta ili kuendeleza ujinga wenu kama kawaida
 
Sunni ni msaudia wakati shia ni wairan na ikumbukwe kwamba kila mmoja ana utamaduni wake.

Haya mambo ya dini ni tamaduni tu za watu ila waafrika ndio wanadanganywa kirahisi kuamini kwamba kuna dini isiyo husiana na utamaduni.

Kwenye tamaduni za kiarabu na kiajemi mwanamke si lolote si chochote na ndio maana waajemi wanaamini kabisa kwamba mke wako ni lazima uende naye kinyume na maumbile pale unapojisikia....😲😲😲
 
Picha Kama hii akiweka muislam anakula Ban
Uzuri mtandao unaruhusu kuwakejeli wengine mkikejeliwa nyie Wala hakuna shida.
Na hii huonesha kiwango Cha akili za watu humu jamvini .
Hakuna mnyama anayeweza kuwa muislamu, hao sio waislamu ni wanayama waliovaa mavazi yenye asili ya nchi za kiarabu🐼
 
Huyu anaujua Uislamu zaidi yako, Waafrika mmelishwa dini za kigeni(matango pori) sasa mnajifanya mnazijua kuliko waliozileta. Hayo mavitabu mnayotapeliwa nayo yamebuniwa na kuandikwa na watu.
Nipe dalili zako wapi ananizidi dini, kwanza anacho ongea sio kiarabu we kwa kuwa mjinga umedhani anaongelea Qur'an haya we nitolee wapi kuna hadithi hata fake pia ya Mtume inasema wanawake ni wanyama?
 
Back
Top Bottom