Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumishi unanichanganya, mbona mkali hivyo?!ingekuwa ni nyomi ya ZUCHU na Mondi hapo ungetoa sifa kedekede we jingalao!
These people did not commit any crime you Son of a beach!
Let God be God we are healing our problems through him
Watu wanapiga pesa Kilaini sana aisee 😂Najiuliza vipi kama ikitokea Mwamposa auambie huo umati leo hakuna miujiza ndugu zanguni, naamini kuanzia kesho Jumapili atabaki na waumini watatu pekee.
Nae kwa kujua kinachowavuta kwake ni miujiza, basi ameamua kuifanya miujiza iwe kitu fulani simple hivi, ambacho kinatokea mara kwa mara kama mtu aliyekunywa maji mengi asiyeishiwa mkojo!.
Mtoto wa Mbwa Jike, sio mtoto wa ufukwe 🤣🤣🤣Mtumishi unanichanganya, mbona mkali hivyo?!
Anyway, it's son of a bitch, not a beach.
Upo sahihi sana.Nawaza ata sielewi huenda kuna uhusiano wa dini na umasikini wa fikra/mawazo/maendeleo etc
Unakufuru ujue.Yaani watu woote hao hawana akili kabisa?Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
View attachment 3034776
Kwenye derby ya kariakoo hutasikia wakilalamika watu kujaa.Watu wana matatizo ya kimwili na kiroho ambayo wamehangaika kwingi bila mafanikio.
Wewe ukiona watu wamejaa baa, kwa sangoma, viwanja vya mpira au matamasha ya wasanii mnaona sawa, ila wakienda kutafuta msaada wa kutatuliwa shida zao kwingine mnaona nongwa.
Watu wana shida, acha watafute ufumbuzi kwa njia rafiki. Wakufanikiwa atafanikiwa ambaye muda wake bado ataendelea kuwa na subra
Sio kukata tamaa,ni kielelezo Cha Nchi ilivyojaa wajinga na punguani.Yaani hapo hawataki kutumia akili,maarifa na Nguvu kutafuta maisha ila wanaamini Mafuta ya miujiza yatawapa maisha 🤣🤣🤣🤣🤣.Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!
Ujinga, maradhi na umasikini is real.
View attachment 3034776
Sasa kule Kuna burudani ,hapa mnasubiria miujiza ya kununua Mafuta mpate Mali,unaona Kwa akili hizo utapata Mali?ingekuwa ni nyomi ya ZUCHU na Mondi hapo ungetoa sifa kedekede we jingalao!
These people did not commit any crime you Son of a beach!
Let God be God we are healing our problems through him
Havitengani kabisa ndugu yangu.Nawaza ata sielewi huenda kuna uhusiano wa dini na umasikini wa fikra/mawazo/maendeleo etc