Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Ujinga, maradhi na umasikini is real.

IMG_2133.jpeg
 
Najiuliza vipi kama ikitokea Mwamposa auambie huo umati leo hakuna miujiza ndugu zanguni, naamini kuanzia kesho Jumapili atabaki na waumini watatu pekee.

Nae kwa kujua kinachowavuta kwake ni miujiza, basi ameamua kuifanya miujiza iwe kitu fulani simple hivi, ambacho kinatokea mara kwa mara kama mtu aliyekunywa maji mengi asiyeishiwa mkojo!.
 
Watu wanapiga pesa Kilaini sana aisee 😂
 
Watu wana matatizo ya kimwili na kiroho ambayo wamehangaika kwingi bila mafanikio.

Wewe ukiona watu wamejaa baa, kwa sangoma, viwanja vya mpira au matamasha ya wasanii mnaona sawa, ila wakienda kutafuta msaada wa kutatuliwa shida zao kwingine mnaona nongwa.

Watu wana shida, acha watafute ufumbuzi kwa njia rafiki. Wakufanikiwa atafanikiwa ambaye muda wake bado ataendelea kuwa na subra
 
Kwenye derby ya kariakoo hutasikia wakilalamika watu kujaa.
 
Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

Ujinga, maradhi na umasikini is real.

View attachment 3034776
Sio kukata tamaa,ni kielelezo Cha Nchi ilivyojaa wajinga na punguani.Yaani hapo hawataki kutumia akili,maarifa na Nguvu kutafuta maisha ila wanaamini Mafuta ya miujiza yatawapa maisha 🤣🤣🤣🤣🤣.

Nchi iliyojaa mapumbavu ya hivi haiwezi kuendelea.
 
Back
Top Bottom