Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mtu wa CHADEMA huyu anahangaika tu na akili zake za kijamaa na za kimaskini.Celtel, Zain, Airtel,crdb,nmb, TRL (TRC),ticts,atcl(ATC)...ukisoma hayo majina unapata chochote,au chuki kwa waarabu zimekujaa Hadi puani!?.
Hujui unaloliongea.Hiyo Heathrow walipewa bure kama sisi tunavyo gawa hizi za kwetu? Maana DPW mpaka sasa hajaweka hata shillingi moja ila amepewa bandari na anaanza kula hela bora wale wachina + Quatar waliokuwa wanakuja na hela zao kujenga Bagamoyo na viwanda vyake tungepata hata ajira sio hii ya DPW.
Umeona mikataba ya hizo ports zaidi ya 70?
Nazo ziliandikwa kienyejically kama huu wa kwetu?
Waswahili tunapopewa tunaiba na kufilisi, tunakuwa maadui namba moja wa kilichowekezwa.Kenya sio kwamba mafara na mm naona wakenya bado hawajafanya kweli yaan ilitakiwa wachome mali zote za mafisadi wawapige ua kabisa hao mbwa ....inaumiza sana kuona nchi yetu inawasomi wa kila kada ila kila sehem tunashindwa kuwapa ukiangalia kwa undani ufisadi tu umetawala ni bora tufunge shule na vyuo ziwe guest house za malaya tu.
Sasa tunasomesha ili waje wafanye nn km rasimali zetu wanapewa wageni tu angalia barabara asilimia 80 ama 90 wakandarasi ni wageni hata kwenye majengo na sehem kibao.Natamani nitukanee niandamane Maana siioni kesho ya wanangu kabisa
Kuna mbwa bado unakuta zinajisifia tunaupiga mwingi fuken kabisa mwingi upi ....nitatukana tu maana inaumaaaa sana🥶
We unaejua tuambieHujui unaloliongea.
Mwafrika kashindwa kuendesha mashirika yaliyoanzishwa na mwalimuu Nyerere awamu ya kwanza.Unaona mkuu Bams, wajinga niliowasema ndo Hawa
Yeye anaona ufaharibkuibwa na kunyonywa na mwabu badala ya mzungu
Wako wengi misikitini Wana fundishana ujinga
Tunasema hatufungamani na mwekezajin myonyaji awe mzungu awe mwarabu
Wote ni adui kwetu
Makelele tu, ufanisi wetu huko katika uendeshaji wa mashirika ni mdogo. Elimu inabadilika kwa kasi na unakuwa ni mzigo ule uongozi usio na njia za kisasa za kuendesha mashirika.We unaejua tuambie
Kwani mkataba wetu una shida gani? Au bado umekaririshwa maneno machafu ya Dr Slaa na Mwabukusi?
Wengi wanaishia kua bodaboda,machinga huku kuna watu wanakuja tu na briefcase na makaratasi kibao wanapewa miradi wazawa wanabaki kua machawa.Kuna faida gani sasa ya kusoma yaan mwanangu asome leo kesho aje kua anasifie watu.
Nataka nifanye maamuzi magumu sana mwanagu akimaliza la saba tu namuingiza kwenye biashara zangu tu ajue abc..mapema kuliko kwenda kujaza ujinga shuleni.Mm naona watoto wetu wanaenda kujazwa ujinga maana km wanasoma na hiyo elimu haiwakwamui inafaida gani ni upuuzi.
Hiyo bandari mama ya Tanzania inategemea kusafirisha mzigo wa DRC, Rwanda, Zambia, na Uganda utakaoletwa na SGR. Ungependa uone mambo yale yale ya wateja kukimbilia bandari ya Mombasa yakijirudia tena muda huu katika ushindani mkubwa wa shoroba uliyopo?.Kwanza katika hayo mataifa makubwa yote, hakuna hata nchi moja ambayo DPW imepewa bandari mama. Inapewa kuendesha bandari za huko pembeni. Na mikataba yao ni tofauti kabisa, siyo wa kishenzi kama huu wa kwetu ambako amepewa bandari mama.
Upuuzi mtupu umeandika kuhusu DPW, ufafanuzi wa kila namna na wa kina ulishatolewa na hauwezi tena ukawa unarudiwarudiwa kutolewa.Kama huwezi kuona ubovu wa ile IGA ya kishenzi, ambayo kupitia hiyo, ndiyo kumetengenezwa HIGA ya bandari, basi utakuwa mtupu sana kichwani.
IGA bado inatamka kuwa:
1) nchi hairuhusiwi kumtafuta mwekezaji mwingine yeyote kwaajili ya bandari yoyote iwe kwenye bahari, ziwa au mto ndani ya Tanganyika bila kwanza kuwataarifa DPW, na wao kuridhia.
2) DPW wakitaka arhi yoyote ile, eneo lolote lile, Serikali inalazimika kuwahamisha wanaotumia eneo hilo ambalo DPW wanataka, na Serikali italazimika kuwalipa fidia hao waliohamishwa.
3) DPW hawalazimiki kulipa kodi za nchi kama sheria inavyotaka.
Hiyo ni mifano midogo tu ya uhovyo wa ile IGA. Na hakuna kipengere hata kimoja, mpaka sasa kilichobadilishwa kwenye IGA.
mjuze,ili ajueHujui unaloliongea.
Bams amekariri anataka mambo ya hovyo yaenedelee kutokea TPA wakati tunapoteza mapatoUpuuzi mtupu umeandika kuhusu DPW, ufafanuzi wa kila namna na wa kina ulishatolewa na hauwezi tena ukawa unarudiwarudiwa kutolewa.
Hiyo IGA inazuia vipi uwekezaji wa mwekezaji mwingine wa sekta bandari?. Mbona pale TPA keshakuja mwekezaji mwingine mhindi na IGA haijazuia chochote kufanyika?.
Utawapata wajinga wajinga lakini wenye kujielewa wanakusoma na kukuona ni wale wale tu walalamikaji.
Ndugu mbona umepitwa na wakati? Yote hayo uliyandika siyo kweli. Mbona kuna mwekezaji toka India anaitwa Adani Group lachukua berth 8, 9, 10 & 11.Kama huwezi kuona ubovu wa ile IGA ya kishenzi, ambayo kupitia hiyo, ndiyo kumetengenezwa HIGA ya bandari, basi utakuwa mtupu sana kichwani.
IGA bado inatamka kuwa:
1) nchi hairuhusiwi kumtafuta mwekezaji mwingine yeyote kwaajili ya bandari yoyote iwe kwenye bahari, ziwa au mto ndani ya Tanganyika bila kwanza kuwataarifa DPW, na wao kuridhia.
2) DPW wakitaka arhi yoyote ile, eneo lolote lile, Serikali inalazimika kuwahamisha wanaotumia eneo hilo ambalo DPW wanataka, na Serikali italazimika kuwalipa fidia hao waliohamishwa.
3) DPW hawalazimiki kulipa kodi za nchi kama sheria inavyotaka.
Hiyo ni mifano midogo tu ya uhovyo wa ile IGA. Na hakuna kipengere hata kimoja, mpaka sasa kilichobadilishwa kwenye IGA.
Kila kitu anakiangalia katika mtazamo wa kisiasa hapotezi hata muda kuutazama uhalisia wa kiuchumi.Bams amekariri anataka mambo ya hovyo yaenedelee kutokea TPA wakati tunapoteza mapato
Upuuzi mtupu umeandika kuhusu DPW, ufafanuzi wa kila namna na wa kina ulishatolewa na hauwezi tena ukawa unarudiwarudiwa kutolewa.
Hiyo IGA inazuia vipi uwekezaji wa mwekezaji mwingine wa sekta bandari?. Mbona pale TPA keshakuja mwekezaji mwingine mhindi na IGA haijazuia chochote kufanyika?.
Utawapata wajinga wajinga lakini wenye kujielewa wanakusoma na kukuona ni wale wale tu walalamikaji.
HahaMjomba ni mama
Punguani ni wewe unayerudia habari iliyokwisha kutolewa ufafanuzi tena na mwanasheria mbobezi wa hayo masuala ya IGA.Wewe hakika ni punguani.
Kitu kikishawekwa kwenye mkataba, wahusika wa kwenye mkataba, yeyote miongoni, akiwa na dhamura mbaya, akitaka anaweza kupuuza kufuatilia kipengere fulani ili wewe uhadaike. Siku akitaka kukufix, atafanya hivyo bila shida kwa kuutumia mkataba ambao wewe uliusaini.
Ungekuwa na akiki lapo kidogo ungejiuliza kwa nini waarabu hawataki kuviondoa hivyo vipengere tata kwenye IGA.
Fuatilia uone yaliyowatokea Dgibout, ambao wameamriwa na mahakama kuwalipa DPW zaidi ya dola milioni 700.
Kama DPW hawana dhamira mbaya, waambie waondoe hivyo vipengere kwenye IGA, uone kama watakubali. Pamoja na kila mwenye akili na weledi, kuanzia chama cha wanasheria Tanganyika mpaka wasomi wabobezi, kulaani vipengere hivyo, waarabu wamegoma kabisa kubadilisha badala yake wakaendelea na vikao vya siri na watawala ili kukubaluana namna ya kuwapumbaza Watanganyika, lakini siyo kubadilisha kipengere chochote.