Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.

Wanapunguza matumizi kama Prof Kitila alivyosema.
 
Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
Mbowe na kina Lema huwa wanapanda punda?
 
Kumekuwa na Call-outs na Shaming threads kibao sasa kuhusu response ya Serikali na janga hili. Sioni hata moja linalosema tushikamane tusaidiane, bali tunakashifiana kwa kufanya mlinganisho na Utopian societies.

Aahaaaa😏 ndio ilikuwa my initial reaction kwa kweli, si umeona posti eh?
😁😁😁😁😁😁
 
Watanzania ni wazee wa kulalamika ,ulitaka waende kartesh na punda au v8 linaweza kuzuia natural disasters like flood. Jamani vijana tunashindwa wapi kufikiri. Je, viongozi wasipoende kuwafariji ndugu zetu napo mtasema serikali imekaa dodoma wameshindwa kwenda kuona wahangaa .
 
Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lililotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo.

Ajabu zaidi, mwisho wa hilo utashuhudia waathiliwa hawatajengewa japo chumba kimoja cha kujistiri kwa kisingizio eti Serikali haina pesa!

Aliyetulaani wa Afrika hakika atakuwa alishakufa kitambo.
Huhitaji kuuliza mkasi kwa kinyozi,au visu na viwembe kwa ngariba,au kilinge na tunguri kwa mganga🤣
 
Watanzania ni wazee wa kulalamika ,ulitaka waende kartesh na punda au v8 linaweza kuzuia natural disasters like flood. Jamani vijana tunashindwa wapi kufikiri. Je, viongozi wasipoende kuwafariji ndugu zetu napo mtasema serikali imekaa dodoma wameshindwa kwenda kuona wahangaa .
Elewa mantiki ya Uzi acha kukurupuka kama chawa
 
Waziri mkuu alitua na chopa pamoja na mawaziri umbali wa mita miatatu wakafuatwa na msafara Kila mmoja na gari lake...what a shame
Kuna nchi Mawaziri wakuu na hata Maraisi huwa ina wachukua wiki mbili tatu mpaka mwezi wafike kwenye majanga.

Leo Waziri mkuu na viongozi wengine wa Serikali yetu Watanzania wamefika huko, tuna washame?

...kwa lengo gani? Kuna tija yeyote inatarajiwa kutokea na ukashifu wa aina hii Au ndio Uhanarakati huo?
 
Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
kwanza wote hao wanaenda kufanya nn huko????
 
Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
Picha hiko wapi? Umbeya!
 
Sasa wakishaenda na hizo V8 na Chopper ndo watazuia yale mafuriko? Kweli kuna ujinga mwingi sana, hapo ni sawa na wameenda kutalii hakuna suluhu yeyote kwasababu hayo mafuriko hayafai kuzuia
 
Back
Top Bottom