Waziri mkuu alitua na chopa pamoja na mawaziri umbali wa mita miatatu wakafuatwa na msafara Kila mmoja na gari lake...what a shameWeka picha tutafakari kwa pamoja hapo posho kila mmoja driver na msaidizi wake na walinzi
AahaaaaNenda wewe huko na bodaboda yako basi loh!
Hizo posho utashangaaaa wanajiita washauri ......wa majamangaWaziri mkuu alitua na chopa pamoja na mawaziri umbali wa mita miatatu wakafuatwa na msafara Kila mmoja na gari lake...what a shame
Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
Mbowe na kina Lema huwa wanapanda punda?Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
Kumekuwa na Call-outs na Shaming threads kibao sasa kuhusu response ya Serikali na janga hili. Sioni hata moja linalosema tushikamane tusaidiane, bali tunakashifiana kwa kufanya mlinganisho na Utopian societies.Aahaaaa
Yeye hawezi kwenda; kwani yeye ndiye ameleta maporomoko?Na Mkulu wanataka aende
💯✔️Kwa mara ya kwanza umehoji jambo la msingi !
Huhitaji kuuliza mkasi kwa kinyozi,au visu na viwembe kwa ngariba,au kilinge na tunguri kwa mganga🤣Kwa namna tulivyo laanika wa Afrika, janga la asili lililotokea kule Hanang litatumiwa na wezi na mafisadi kujinufaisha wao kwa kulipana posho na malipo mengine mengi hewa fanani nayo.
Ajabu zaidi, mwisho wa hilo utashuhudia waathiliwa hawatajengewa japo chumba kimoja cha kujistiri kwa kisingizio eti Serikali haina pesa!
Aliyetulaani wa Afrika hakika atakuwa alishakufa kitambo.
Elewa mantiki ya Uzi acha kukurupuka kama chawaWatanzania ni wazee wa kulalamika ,ulitaka waende kartesh na punda au v8 linaweza kuzuia natural disasters like flood. Jamani vijana tunashindwa wapi kufikiri. Je, viongozi wasipoende kuwafariji ndugu zetu napo mtasema serikali imekaa dodoma wameshindwa kwenda kuona wahangaa .
Kuna nchi Mawaziri wakuu na hata Maraisi huwa ina wachukua wiki mbili tatu mpaka mwezi wafike kwenye majanga.Waziri mkuu alitua na chopa pamoja na mawaziri umbali wa mita miatatu wakafuatwa na msafara Kila mmoja na gari lake...what a shame
kwanza wote hao wanaenda kufanya nn huko????Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
Yanapita kwenye lami tu hii mijamaa ya ovyo,hawashuki kwenye ma v8 wanawaagiza tu vijana wa jw "try there or there" na viingereza vyao kumbe majizi...in musukamas voiceSijui kwann hayo mafuriko yasiwasombe na ma v8 yao kudadek
Picha hiko wapi? Umbeya!Wadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.
Huwa nahoji masuala mengi tuu ya msingi.Kwa mara ya kwanza umehoji jambo la msingi !
Sasa wakishaenda na hizo V8 na Chopper ndo watazuia yale mafuriko? Kweli kuna ujinga mwingi sana, hapo ni sawa na wameenda kutalii hakuna suluhu yeyote kwasababu hayo mafuriko hayafai kuzuiaWadau nimetizama msafara wa mawaziri, manaibu,Makatibu wakuu,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wakuu wa mikoa mbalimbali,wakuu wa wilaya mkoa Manyara..... na wengine wengi.Ni kufuru mav8 yote hayo wakati wangeweza kupanda luxury bus Moja ama mbili the rest wakasaidia wahanga.Mungu turehemu waja wako....Tanzania bila ccm inawezekana.