sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Yes, wanaenda KUPIGA, utakuta wako tu aamesimama na vitambi vyao hata wanalofanya halionekani.Wengine wanaenda ili wasaini pesa za safari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, wanaenda KUPIGA, utakuta wako tu aamesimama na vitambi vyao hata wanalofanya halionekani.Wengine wanaenda ili wasaini pesa za safari.
Iimegeuka kuwa fursa kwa watawala kupiga pesaNimeiona video ambayo inaonyesha msafara wa kiongozi wa serikali kuingia Hanang kwenye maafa ya mafuriko.
Per diem za kutosha 🤔😞😏Iimegeuka kuwa fursa kwa watawala kupiga pesa
Nimeiona video ambayo inaonyesha msafara wa kiongozi wa serikali kuingia Hanang kwenye maafa ya mafuriko.Msafara una Landcruiser LC 300 zaidi ya 15 ambazo zinakwama kupita kwenye lile tope zito .
Najiuliza msafara mkubwa vile na magari ya anasa unaenda kuwasadia nini watu wa Hanang?
250,000 per dayPer diem za kutosha 🤔😞😏
Huyo dingi mwenye tshrt nyeusi imeandikwa Samia love kama namfananisha hivi ni nani huyu?Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya Uokoaji.
Mlioko eneo la tukio tuambieni kama mnapata mahitaji stahiki kuanzia tiba,mahema,vyakula,maji,nk?
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
---
PICHA: BAADHI YA VIONGOZI WALIOZULU HANANG
View attachment 2833818View attachment 2833819
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wengine wanaenda ili wasaini pesa za safari.
na waziri wa michezo na utamaduni aende kufanya nini?Mama ashatoa maagizo serikali iweke nguvu zote sasa hata waziri wa jinsia na watoto utadhan asiende
Ukiona majitu ya hivyo, ujue ndiyo yale majitu yenye unafiki wa hali ya juu. Jitu la hivyo utakuta halijawahi kumwambia hata mama yake mzazi, mama nakupenda, halafu linataka kumpumbaza Rais aamini kuwa linampenda sana.Huyo dingi mwenye tshrt nyeusi imeandikwa Samia love kama namfananisha hivi ni nani huyu?
Yaani viongozi wetu ni mambumbumbu sana na ndiyo maana hawachoki kurogana maana kila mmoja yuko incompetent, anaroga wenzie ili abakie yeye madarakani na kuendelea kuiba hela za ummaCha kushangaza zaidi wameenda lakini maelekezo bado yanatoka kwa Rais!
Sasa why watumie gharama zote zile alafu hawana solutions??
Aibu!