Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Wewe jamaa hapana kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Usicheke mkuu nliachwa na mwanamke mara ya kwanza npo la pili

Asha aliniacha kisa kapewa maandazi mawili na John sijawahi sahau mpaka leo πŸ˜‚ wanawake matatizo mmeanza zaman sana

But I was extremely intelligent maybe sababu la tatu sijasoma la saba pia nliruka
 
Bangi sidhani,, labda kama kapata demu😊
Demu kumkalisha hadi usiku au kutwa nzima sidhani.

Madogo wakianza kuvuta bangi wakati mwingine huchukua muda kuja kujua

Mmea unaweza kumfanya mtu awe cool au awe ana overconfidence au hasira za harakaharaka
 
Haya bhanaπŸ˜ƒ
 
Anasubiri kwenda form5 mwezi ujaoπŸ˜ƒ
ni kawaida hiyo, hasa kwa wavulana kuchukia nyumbani

mi mwenyewe nina miaka karibia 3 saivi nakwepa nyumbani, unajisogeza pembeni, unataka kujitegemea

hivo vidonge ndo naona ni tatizo, fatilieni hapo
 
ni kawaida hiyo, hasa kwa wavulana kuchukia nyumbani

mi mwenyewe nina miaka karibia 3 saivi nakwepa nyumbani, unajisogeza pembeni, unataka kujitegemea

hivo vidonge ndo naona ni tatizo, fatilieni hapo
Kwakweli itabidi tufatilie,, naumia sana kumwona mama anakosa amani kwajili yake yaniπŸ˜”
 
Mbona unanitisha mkuuπŸ₯Ή,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi πŸ€”, mbona bado mdogo jamani πŸ₯ΉπŸ₯Ή
Miaka 17 mdogo? Huyu si yuko secondary kabisa tena obviously ni form 3 mpk 4 anajua tuvitu tuchache
 
Sawa,, kama ndo itasaidia kubadilika tutamwacha kama anavyosena yeye mwenyewe..japo sio rahisi hivyo kama unavyofikiria mkuu
 
mtoto wa miaka 17 unasema wamwache???
 
Ni Dawa gani mlimkuta nazo ? isijekuwa PEP na zinamletea mauza uza
 
Haya bhana[emoji2]
Mkuu usicheke haya mambo nayaelewa sana usije sema eti mdogo wako ni mtakatifu hafanyi jambo moja wasilojua wazazi ni kwamba asilimia kubwa hatukai na watoto

Nakupa mfano wa mwisho mimi nkiwa darasa la nne house boy na dereva wa gari za mzee walikua wanatumia unga na bangi off course walikua wanaficha but due to my curiosity nkajaribu na mimi kuvuta unga kilichotokea Mungu ndie anajua [emoji23][emoji23]

It was for a one day but this is just An example watoto wanapitia mengi sana na ni kundi lililo neglected kuliko kundi lolote lile kwenye jamee
Kundi la adolescents
 
Sawa, Asante kwa ushauri mkuu πŸ™πŸΌ
 
Sawa,, kama ndo itasaidia kubadilika tutamwacha kama anavyosena yeye mwenyewe
Kuna mdogo wangu aliwahi toweka hom hivyo hivyo, mama alikuwa anamcare sana , akifunga mlango wa chumbani kwake anakula mziki na earphones, utakuta mama anagonga mlango hasikii, anakuja kufungua mama analalamika sana yaani, akiwa hata anakula akaacha msosi, bi mkubwa atataka kujua kwanin ameacha, mara kwanin analala..

Mwishowe dogo akawa anaenda mabanda umiza kucheck mpira au movie tu anapakimbia hom kwa sababu ya maswali maswali.

Nyie mwachen, endeleeni kumpenda na kumuacha, ushauri wa maneno machache na sio kila siku. Anatoka hom kwasababu ya kero zenu za ushauri ushauri kila saa, muda mwingine mtaniane tu, maisha yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…