Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Ni kama dalili ya bangi hivi

Nikuulize maswali mawili
1) ukikaa naye karibu anakuwa na wasiwasi?
2) anatania ya kutafuna vitu muda mwingi? Kama big jii , amekuwa na matumizi makubwa ya pesa?

Upande wa pili pia je marafiki zake wa sasa ni wa aina gani? Unapaswa kulijua hilo kama hujui tafuta mtu (men) afatilie ni muhimu saa ingine unaweza kuta ashaingia na makundi ya ajabu na ameanza kushiriki

Nilikuwa na dogo alitusumbua kumbe alikuwa anavuta bangi
Alikuwa mwoga Yani sio kuogopa watu Yani hataki kukaa na mtu karibu na hawezi kukuangalia machoni, aliongeza matumizi ya pesa baadae ikaja ikamzidi ndipo tulipojua
 
Duuuh πŸ€”πŸ€”,, tumenza kumfatilia mkuu,asante kwa ushauri mzurii πŸ˜ŠπŸ™πŸΌ
 
Duuuh πŸ€”πŸ€”,, tumenza kumfatilia mkuu,asante kwa ushauri mzurii πŸ˜ŠπŸ™πŸΌ
Ikiwezekana tumia nguvu huyo bado yupo chini yenu akiharibu au kuharibikiwa hasara juu yako
 
Nyie mna kiherehere yeye hataki mambo yake mhusike nyie mnajikomba[emoji28][emoji1787]

Pigine buyu mpotezeeni kabisa siku yakimfika shingoni ndio chance yenu sana kumpa za uso
 
Nyie mna kiherehere yeye hataki mambo yake mhusike nyie mnajikomba[emoji28][emoji1787]

Pigine buyu mpotezeeni kabisa siku yakimfika shingoni ndio chance yenu sana kumpa za uso
SawaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuhusu hayo mambo mengi siwezi ongea chochote, ila kuhusu hizo dawa mlizokuta, ni kwamba huyo dogo alikuwa anajitibia gono.

Sasa mlitaka awaambieje kuwa anaumwa gono?
 
Kuhusu hayo mambo mengi siwezi ongea chochote, ila kuhusu hizo dawa mlizokuta, ni kwamba huyo dogo alikuwa anajitibia gono.

Sasa mlitaka awaambieje kuwa anaumwa gono?
Jamani 😳😳😳
 
Aisee,, mbona tatizo hilo sasa.unaweza kunigusia hivyo vitabia labda ili nipate pa kuanzia kumchunguza
sio rahisi kujua mkuu, ila amini kwamba hapo mtaani watu wanajua ila hawawezi kuwaambia kama msipowauliza ila wanangoja janga liwe kubwa ndo waseme sisi tuliona tu.

Kama anatoka na kurudi jioni lazima kuna watu wanamuona, kuna spies wa kujitegemea wanajua tu, kama una rafiki mtaa huo jaribu kumshirikisha uone maoni yake.
 
Sawa nmekuelewa mkuu ntafanya hivyo...Asante kwa ushauri πŸ˜ŠπŸ™πŸΌ
 
Pengine akija kusema familia itakuwa kama tikiti lilianguka sakafuni toka juu kabatini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…