Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Tafuta rafiki yako wa kike unayemkubali kabisa ni pisi Kali.. mwambie kwa gharama yoyote unamhitaji amsaidie mdogo wako aanzishe mazoea naye taratibu na ikibidi ampe utelezi kama vipi Ili awe kwenye mahusiano salama. Kanogewa tu na jimama huko kitaa.. tena alivyo mpole na huo umri anaunganisha bao hata3 bila kuchomoa.. ndo wanapenda majimama Boyz Wa hiyo age.
 
barikiwa sana mkuuπŸ™πŸΌ
 
Aisee 😳😳,, sawa lakini Asante kwa ushauri
 
Kwani kuna shida kumfatilia mtoto,, em just imagine anaumwa hadi anapona hasemi, vipi kama angezidiwa na homa na Sisi hatuna taarifa...miaka 17 ni mtu mzima kweli πŸ€”
Hili la kumfuatilia mmeanza ziku nyingi ndiyo maana amewaona nyie ni kero. Huyo siyo mtoto wa kufuatiliwa kama wa chekechea. Hilo ndilo tatizo.
 
Kwanza, poleni sana. Hali hiyo inaleta stress sana kwa wazazi, haswa mama.

Pili, walau ningeona hizo dawa ingetusaidia kutabiri alikuwa anaumwa nini. Hii ni muhimu sana, kama ingelikuwa ya magonjwa ya zinaa tungepata picha dogo kashaanza kuonja. Au ugonjwa mwingine wowote, tungeunganisha dots za hali anayopitia pamoja na ugonjwa na kupata picha ya haswa ya nini kinamsibu.

Tatu, unapaswa kuelewa kuwa huo upole aliokuwa nao ni upweke. Ukweli ni kuwa, watoto wa kiume wanapenda kuchangamana na wanaume wenzao. Bahati mbaya sana familia ina watoto wa kike pekee. Mwanaume aliyebaki ni baba ambaye naye yupo busy.

Nne, mnapaswa kufanya yafuatayo;
a)naamini ya kwamba ninyi ni waamini. Jambo la kwanza muombeeni. Kwa sababu mengine yote yanatimizwa kupitia maombi. Mungu ni Mkuu.

b)fanyeni upelelezi wa wapi anaposhinda na nani na wanachokifanya. Si lazima ninyi muende huko, rafiki zake mkikaa nao wanaweza kuwaletea majibu sahihi na hiyo itawapa picha kamili ya mabadiliko yake.

c)Mhimizeni mzee asipuuze mabadiliko ya dogo. Sawa, kuna mambo yanapaswa kupuuziwa ila si mabadiliko ya ghafla kama hayo. Au labda tayari mzee ana majibu tayari ya nini kinachoendelea. Ashajua huko dogo anafukunyua, kaamua kupiga kimya.

d)Sijafahamu kama huwa wazazi au dada zake mnampa hela. Lakini mpaka kaenda hospital ana hela. Kama hali nyumbani, maana yake ana hela za kula huko alipo. Sasa, sitisheni kumpa hela. Hiyo, itamshikisha adabu na kujirudi. Ataanza kula nyumbani.

e)Ukaguzi wa chumbani uwe wa kila leo. Hii itawasaidia sana kufahamu anachoingia nacho. Kama simu yake mna uwezo, pia ifatilieni (hack) kujua anachokifanya na anaowasiliana nao.

Kila la kheri.
 
Kwahiyo unashauri tumuache kama alivyo😌
Atakuja kubadilika. Hivi unajua miaka 17 ni mtu anaweza kwenda chuo na kulala huko? Mtamfuata na huko chuoni kuona kama anaumwa? Nyie ndiyo mnamfanya anakuwa jeuri. Baba yenu kwa sababu ni mwanaume ndiyo sababu ameelewa na haoni tatizo. Baadhi ya kina mama na mabinti zao huwa wanafanya kosa la kutaka ku-control watoto wa kiume. Na mara nyingi inakuwa ni kolabo ya mama na binti.
 
Hili la kumfuatilia mmeanza ziku nyingi ndiyo maana amewaona nyie ni kero. Huyo siyo mtoto wa kufuatiliwa kama wa chekechea. Hilo ndilo tatizo.
Sawa,, kwahiyo tukimuacha kama alivyo ndo itasaidia kutatua tatizo alilonalo saiz
 
Ushauri wako utazidi kuharibu mambo. Mvulana wa miaka 17 huwezi kum-treat hivyo. Ni lazima ataonyesha jeuri na akapata mwanya atawakimbia kabisa. Kumbuka huyu ni mtu anayetakiwa kujiunga na chuo na pengine alale bweni na kujisimamia mwenyewe kimaamuzi na kimaisha. Watahamia naye huko chuoni?
 
Mtoto Miaka 0-12 anawasikiliza wazazi, from hapo ni his peers na watu wengine nje ya familia , Baba yenu Hana solid relationship na watu wazima wenzie au vijana wenye mienendo mizuri wanaoweza kutumika kuongea na huyo chalii?

Ila nini kama miendwndo siyo mibovo mwacheni , by age 17 niliondoka maskani nikaenda kuishi napopajua Mimi, baada ya miezi walipogundua napoishi waliniacha mpaka namaliza maskuli nikarejea maskani , alafu nikaruka tena na Mishe zangu , ni phases tuu Ila tumieni akili Zaidi , mkiforce mnampoteza
 
Sawa, nimekuelewa...kwahiyo unamaanisha anaweza kubadilika tu mwenyewe?
 
Sawa,, kwahiyo tukimuacha kama alivyo ndo itasaidia kutatua tatizo alilonalo saiz
Hana tatizo. Unless ana mambo mengine zaidi ya uliyosema. Kama ni haya uliyoelezea tu, basi hana tatizo. Hatasoma tena shule? Miaka 17 anatakiwa kwenda chuo! Mtaenda naye huko?
 
Ndiyo maana ukawa ushauri. Wao wakiona unamfaa, ataufanyia kazi. Kama vinginevyo, watauacha.

That had based on my own perspective. They are not entitled to must do.
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu, barikiwa sana πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ
 
He is testing his capabilities and skills and he is gaining new skills too it's just a matter of time , Ila tumieni akili Zaidi leejay
Sawa, nimekuelewa...kwahiyo unamaanisha anaweza kubadilika tu mwenyewe?
 
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Duh poleni,, fuatilieni mjue nini tatizo hasa km ni foolish age na hatari gani aliyomo huko anakoshinda kuna namna, fatilieni mjue msitulie tu eti atabadilika dunia tuliyomo imeoza yaweza kuwa ana jimama/jibaba, makundi mabaya nk
 
Yes. Atabadilika vizuri kabisa. Hasa kama ataenda chuoni, huko atakutana na wengi na kujifunza. Kwa kifupi watoto wengi wa kiume kwenye huo umri hawataki kuwa controlled.
Sawa nmekuelewa mkuu πŸ™πŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…