Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Na huu ndio ukweli wenyewe kuna kitu wamemkwaza vya ndani zaidi na baadhi ya watoto hususani wa kiume hawawezi kuongea hua wanayazima ndani kwa ndani Ila sio kwamba ataishi nayo milele ni mapito tu, kuna manyanyaso mnamfanyia huyo kijana Ila hawaambii kua hapa mnaninyanyasa nyinyi, sasa hio hali kupata nafuu itachukua muda tena pale atapowahama kabisa hapo nyumbani kwenu maana kashaweka kinyongo na nyinyi na midomo yenu ya kuropoka ropoka ovyo Mambo ya wanaume na watoto wa kiume hamjui lipi la kuongea na lipi la kumezea
 
Kijana wenu kagundua mpenzi wake ana mpenzi pia Ili hali yeye alitarajia kumuoa walishapanga mpka majina ya watoto watakao pata hapo badae
 
Aisee 🤔🤔
 
Kwamba mtoto wa kiume hapaswi kuchunguzwa au kufatiliwa hata na mzazi wake jamani 🤔
 
Kijana wenu kagundua mpenzi wake ana mpenzi pia Ili hali yeye alitarajia kumuoa walishapanga mpka majina ya watoto watakao pata hapo badae
Kuoa na miaka 17..Alitaka ampeleke wapi huyo mke 😂😂😂
 
Sawa nitajaribu kufanya hivyo...shida ni kwamba hataki kuongea wala kumskiliza yeyote yule 🤔

Ongea nae vitu anavyopenda
Watu wakianza kumsema wewe nyamaza na ufanye hivyo kwa siku kadhaa mwisho Anza kuongea nae kwa kumpa nafasi ya yeye kuongoza mazungumzo
Nafanya hii huduma najua wazazi na walezi wanavyoteseka kwenye malezi na mbaya zaidi hawajui hata hao watoto wanateseka pia kwa kuwekewa vizuizi😅😅
 


Mnaitaji tafuta namna afunguke, kuna shida anayo, na nyie ndo anawalaumu either kwahaki au siyo haki.

Jambo lingine, ameanza tumia vilevi, hivyo vinamfanya ajisikie he can manage anything.

Tafuteni vijana anaokaa nao kwa upendo kabisa na siri mpate mtazamo wao.

Umri wa miaka 17 ni mbaya sana, akifyetuka hapo, ndo basi tena, kumrejesha ni ngumu sana.

Kuna Bwana mdogo alikuwa hivyo, kuja kujua Baba yake mdogo alikuwa ana mu abuse sexual, hasemi, ana hasira tu na kutishwa akiwa mdogo.

Alikuja kusema baada ya huyo jamaa kufa, hawa watoto unaweza kuta wanaishi na maumivu makubwa.
 
Sawa naanza kufanya hivyo mkuu...nitaleta mrejesho 😊
 
Aisee 😔😔,, hili suala inabidi tulitilie mkazo kuanzia sasa lisije kutuletea matatizo makubwa zaidi😌
 
Kwamba mtoto wa kiume hapaswi kuchunguzwa au kufatiliwa hata na mzazi wake jamani 🤔
Sometimes inabidi iwe hivyo msipofanya hivyo atakua hakui huyo inabidi akue elewa ninachokwambia hio ni saikolojia ya mwili na akili sasa hivi 17 years old pubic hair zimemuota na akiangalia maumbile yake ya uume anaona yamekua makubwa na usiku anapata wet dreams za ajabu ajabu na akiamka asubuhi anakua amedindisha sana uume wake anamuwaza na kumuota mwanamke asiekua na maana yoyote kwenye Maisha yake na huyo mwanamke sio wewe, wewe unajua nini kuhusu hilo? Keep your distance mpeni Uhuru wake au unataka akugonge wewe?
 
Sawa,nmekuelewa mkuu 😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…