Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

Kwahiyo tumfanyaje ili akae sawa..au ndo tumuache tu atabadilika mwenyewe kama wengi wanavyosema[emoji848]
Yeah muachen atabadilika mwenyewe ni hali ya muda mfupi ndiyo maana mzee kasema mwacheni anajua vzr ni hali inayotupata sana watoto wakiume tukifikia hiyo age
Cha msingi mweken karibu na nyie bas msimtenge kama ana demu mwambie awe free tena muulize hivi wifi yangu yupo wapi??
Mchokoze kishikaji atakuwa huru sana zile hormone zinatutesa mnooo

Atakuwa sawa baada ya muda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo aliingia kwenye mahusiano na ameachwa so inawezekana akili haipo sawa kwa sasa age changamoto sana hio all in all taften mtu mwenye busara sana akae nae aongee nae
 
Mbona unanitisha mkuu🥹,,, kwamba ameshaanza Kufanya mapenzi 🤔, mbona bado mdogo jamani 🥹🥹
17 mdogo ? We umeanza lini kubanduliwa ulikua na miaka mingapi kipindi unaanza? maana najua kwa sasa unachezea miaka 21, kale kajamaa kalikubandua ukiwa na miaka mingapi?
 
Aisee 😔😔,, hili suala inabidi tulitilie mkazo kuanzia sasa lisije kutuletea matatizo makubwa zaidi😌


Kabisa, sio la kawaida, mtoto anaweza kaa na machungu yakd mda sana ya uonevu yaka mtesa sana akiwa mtu mzima.
 
17 mdogo ? We umeanza lini kubanduliwa ulikua na miaka mingapi kipindi unaanza? maana najua kwa sasa unachezea miaka 21, kale kajamaa kalikubandua ukiwa na miaka mingapi?

Ni mdogo, ila uko kwenu mnapoishi bila malezi hata wa miaka 12 anaanza mahusiono. Miaka 17 ni mtoto kabisa.
 
Tumieni approach nzuri nadhani atawaeleza kinachomkumba.Mshauri mama amualike mjomba wenu mmoja ama wawili waje wakae na kijana wamshauri nadhani atawasikiliza.

Nyie amewazoea Sana ndo maana anachukulia poa tu.
 
Huyo aliingia kwenye mahusiano na ameachwa so inawezekana akili haipo sawa kwa sasa age changamoto sana hio all in all taften mtu mwenye busara sana akae nae aongee nae
Hakuna Cha mwenye busara huyo atakaa sawa mwenyewe it's a matter of time, au mwambie watafute kademu wamuunganishe nae kawe kanamriwadha awe anakabandua basi funika kombe mwanaharamu apite, sasa hivi anawaza kubandua watoto wa kike tu hapo ndio mafaili yaliyojaa kichwani kwake plus huko anakoenda anacheck pornography ndio kwisha habari
 
Mdogo wako yuko mapenzini na mtu mzima
 
Kwenye suala la chakula alikua anakula vizuri tu bila shida,, usafi pia yuko vizuri...kwamba ameanza kufanya mapenzi hapo ndo ninaposhindwa kuamini...ila tutaufanyia kazi ushauri wako mkuu🙏🏼
Mimi nmeanza kuwaza pussy nipo chekechea

My dad was very proud of me 😂😂
 
Haya sawa
. Maoni yako pia Ni sahihi

Ila mwanao akikua utaelewa haya Nmesema.

Hio age stress Ni za mapenzi au una kuta hana simu au nguo anazotaka

Basi hakuna stress zingine hapo
 
Huyo inaonekana kalambishwa asali,atakuwa na jimama,na huo ugonjwa labda gono lilimkumba

Dawa yake ilitakiwa mumkodi mtu amfuatilie huko anakoendaga ndiyo mtaupata ukweli

Angekuwa anavuta bangi msingemkuta na dawa za kunywa, ingawa huo ni ushauli wangu tu
 
Ni mdogo, ila uko kwenu mnapoishi bila malezi hata wa miaka 12 anaanza mahusiono. Miaka 17 ni mtoto kabisa.
Mkubwa huyo kashasoma topics za reproduction darasa la 7 kasoma form 2/3 reproduction unasema mdogo ? Hio 17 kuna dogo hapa home ndio anaingia form 5 unasema mdogo una akili wewe? Huyu dogo miaka 19/20 kaanza Chuo unamuita mdogo bado ? Anachowaza kwa asilimia nyingi ni kuwapelekea miti sio mitihani
 
hivi huko dar mnaleaje hao watoto wenu....usukumani mtoto wa 10 anaongoza ng'ombe 1000 na hakuna hata mmoja anaepotea

Miaka 17 mtu mzima kabisa hata kuoa anaweza kabisa

Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
Sema nini mnawatesa sana hao watoto kwa njaa, jua kali, kiu na hatari juu ya maisha yao.
 
sijawahi ona familia mtoto wa kiume anamuogopa MAMA ndo maana single maza wanapata mtihani sana kulea watoto wa kiume na ukiona mtoto wa kiume anamuogopa mama yake juo huyo mama ni mbabe sana.. Malezi ya mtoto wa kiume ni baba so akiharibikiwa kwa kiasi kikubwa jua mzee hakuplay part yake vizuri mimi mama ayangu alishawahi kusema HAKUNA MTOTO ANAESHINDIKANA TIBU TATIZO HARAKA SANA LINAPOANZA usimuache aone anachofanya ni kawaida. Tiba ni kipigooo unapigwaa mpaka unahisi kufaa yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…