Huwa mnawashughulikiaje watoto wanaokuwa na tabia kama hii?

advantage ni kwamba tunaishi tz tuna uhuru wa kuwafanya watoto wetu tutakacho... piga huyo hadi aseme... tafuta askari 1 ampige bila huruma... ila sio kichwani mbona atasema tuu... hamjaweka jitihada tuu tafuta mtu amfatilie mtajua anakoshinda... hizo dawa mlishiundwa hata ku google mjue zinatibu nin? kijana wa miaka 17 bado mdogo mkifanya masihara mtampoteza.... dunia ya sasa inambo mazito sana
 
Sema nini mnawatesa sana hao watoto kwa njaa, jua kali, kiu na hatari juu ya maisha yao.
Mtoto wa kiume shupavu kalelewa kwa njia hiyo..

Ukishazaliwa mwanamme tayari ushanunua vita toka unazaliwa.. Sasa kijana wa miaka 17 kalelewa kimayai mayai hata wanaume wenzake hawamuogopi kwann wasimbandue???

Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
 
Sawasawa,, nimekuelewa mkuu 😊
 
Mmmm πŸ€”,, kwamba amepata demu ndo anamchanganya au
Sio demu tu anaweza kuwa kapata limama pia linamzuzua. Sasa kwa ushauri lazima apatikane male figure ambaye ataweza kuongea naye kama kijana mwenzie mtapata taarifa nyingi zaidi
 
Am sorry to tell you this, Kijana wenu amelawitiwa kiufupi amekuww shoga..( ur father knows what is going on and probably yeye ndio kaanza kumfanyiq) fanyia uchunguzi eneo hili utakuja kunishukuru nipo nimekaa pale
 
17 mdogo ? We umeanza lini kubanduliwa ulikua na miaka mingapi kipindi unaanza? maana najua kwa sasa unachezea miaka 21, kale kajamaa kalikubandua ukiwa na miaka mingapi?
Tufocus kwenye kumshauri dogo kwanza mkuuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cha kwanza ni barehe
Cha pili huw unaingia chumban kwa mdogo wako wa Miak 17 kumfanyia usafi (mtoto wa kiume akifk 11 anasimamiwa afanye usaf geto kwake peke ake au alete demu wake akifk 15 had 17 hurusiw kuingia kizembe chumban kwa mtoto wa kiume labda Baba tuu na mama kwa tahadhar

Huyo mlilea kama bata huwa anawez ishi nyumbn siku zote ILA siku akipaaa kurud nyumbn NI majariwa,

ILA kama anatoka anaend fanya mambo yake ya kiume muachen lakn pia wakumuwek Sawa vzr ni mshua wako
 
Tumieni approach nzuri nadhani atawaeleza kinachomkumba.Mshauri mama amualike mjomba wenu mmoja ama wawili waje wakae na kijana wamshauri nadhani atawasikiliza.

Nyie amewazoea Sana ndo maana anachukulia poa tu.
Sawa Asante kwa ushauri
 
Kazi kwelikweli πŸ€¦β€β™€οΈ
 
Mnacare sana mnamchukulia km mtoto inakera sana hiyo.. kumuuliza uliza, vp mbona upo kimya? Mbona hujala? Vip mbona umelala tu? Hivi vimaswali vinakera sana hasa kwa mtoto wa kiume.

Mwacheni, mwambien ukirudi chakula kitakuwa pale usisahau kula basi, ipite wiki nzima msimuhoji hoji maswali yenu ya kike kike.

Mzee amesema mwacheni ina maana yake hiyo, km ni ushauri, mshaurin kwa maneno machache then mpeni nafasi achague mwenyewe nin cha kufanya.

Acheni kumfuatilia fuatilia, MWACHENI
 
Sawa, Asante kwa ushauri mkuu πŸ™πŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…