Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Ebu nirudishe nyuma kidogo, concept ipi unayo zungumzia hapa
Namaanisha mkuu jamaa ni muigizaji kacheza vizuri hiyo series maisha yake binafsi hayahusiani na movie mkuu nimejitahidi kujibu, Mimi nitoke kwenye kibarua cha kujenga, na fundi mkuu kanipa kiasi cha hela, harafu Tena aje Nyumbani aanze kunipangia matumizi ya hela yangu 🀣
 
Haya jaman nawaachia ulingo mpiganeπŸ˜‚
prida kama Seran hakukuweza huyu nae umshindwe🀣🀣

Kwa taarifa yako huyu bichwa mimi namchukia sbb tu ni punga ila hachokozagi mtu hana alichonikosea ,he is cool hlf usimuone anajichetua na laana zake za ushoga he is very smart.Tatizo ni mara chache sana utamkuta mada za maana ila hakuna mada wala comment ya mavi mavi itampita .Sijui ana poop detector.Yaani comment ya kinyesi hata iwe wapi ataiona tu na happy hajatagiwa. Huyu upstairs ni level zenu na kina denoo na natafuta ajira ila no wonder si mwanaume ?

Seran alivyoanza kunichokoza unajitia hujaona?
 
Wakati tupo shule ya msingi pia tulisikia tetesi kama hizo kuhusu Ronaldo vipi wewe hukusikia?
πŸ˜†πŸ˜† Ronaldo alipakatwa kabisa na jamaa ambaye inasemekana ndiye bwana wake yaani wamepiga picha jamaa kambeba kama mwanaume anavyombeba mwanamke halafu yule mchizi kavaa kibukta tu na Ronaldo pia kavaa kibukta jamaa aliye mbeba cristiano machine imesimama πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ilikuwa enzi za Facebook Iko hot Ronaldo seems he's a gay

Jamaa ambaye inasemekana aliyekuwa ana mpakua ni mmisri , internet ilienda viral now days cristiano hajawahi jitokeza na kupinga hiyo kashfa
 
Aiseee !!! Ptuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…