Huwa unafanya nini kupunguza au kumaliza hasira?

Bila shida.... @ my own risk.
ngoja nikupe scenario moja: Mwana kacheatiwa na dem wake, akawapakiza kwenye ndinga yake, katika kuongea anasema kwa hasira "yaani Esta nikamlipia ada ya chuo, nikamnunulia macho matatu..." huku anaongeza speed. Ndio maana nikauliza unawezaje mkuu? Too risky!
 
BWANA ni mwema kama katika hasira unamkumbuka ni jambo jema sana.
 
secretarybird hasira ni kipaji ama πŸ™‚
Hasira ni instinct yaani Kila mwanadamu ana hasira. Hauwezi kumfundisha hasira.

Mimi nikiwa na hasira huwa dushelele inasimaa kwa ushupavu wa hali ya juu kwani dushelele ndiyo silaha niitumiayo kuwachapa wale wote wanipandashao hasira.
Hili Binti Sayunii analifahamu fika kabisa.

That's me!
 
Mkuu kumtag huyo binti utagombanisha watu humu πŸ™‚
 

Mkuu stress haiwezi kukufanya ushindwe kuendesha gari! Itategemea na wewe hiyo stress umeipokea vipi na imekuathiri vipi kichwani mwako. Watu wanafiwa watu wa karibu, na wanabeba maiti kwenye magari yao.

Tofautisha kati ya hasira na ghadhabu. Adui mkubwa wa chombo cha moto ni Ulevi, mwendokasi na uzembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…