Huwa unafanya nini kupunguza au kumaliza hasira?

Anhaa sawa mkuu noted!
kumbe kuna
hasira - anger
ghadhabu - rage
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃila mkuu, wewe unawazaga ngono tu
 
Anhaa sawa mkuu noted!
kumbe kuna
hasira - anger
ghadhabu - rage

Ndio unaweza kuwa na hasira bado usipoteze umakini, na unaweza kuwa na hasira ikakupelekea kupoteza umakini na ghadhabu.

Ndio maana utaona mtu kapata hasira anagonga meza, ni hasira imempelekea kughadhabika. Au akawa na hasira akaendesha gari kwa ghadhabu na kusababisha ajali.
Ukishindwa ku "control" hasira ndio unaghadhabika. Ndio maana mtu anaweza kupata hasira sana, akatulia asifanye lolote labda akalia tuu, au akatoa machozi na asilie. ๐Ÿ˜
 
SAWA Mkuu hapo nimekupata hasira ni ghadhabu ambayo haijachangamka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ